Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
MuoneAnune tu si ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MuoneAnune tu si ukweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] njoo nikunong'oneze.Sakayo ebu nijibu nimeambiwa nikuulize na Nokia vifungashio vya asali ndio vinini
Atakuwa yuko busyHalaf nilikutana na Eddy love jukwaa la ujasiriamali nikamquote nasikia unanitafuta Eddy sijui hajaingia tena jf nimeona kimya
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Kumbe ndo huyuuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kijana naona unaendelea kutema nyongo.Hapana , hiyo sio dhima yangu, hilo nimelikumbuka tu. Kwani Shunie nimefanya makosa kukohoa? Ujue m0k nimeanzisha hii thread nimeumia kwa kiasi kikubwa, kila tendo afanyalo binadamu sio rahisi, imenichukua muda
Mkuu acha nimalize kabisa labda ntapona[emoji3] [emoji3] [emoji3] kijana naona unaendelea kutema nyongo.
Mmh[emoji3] [emoji3] [emoji3] mimi nilikuwa namuenjoy tu.
Mbona waguna sasa, huamini?
Haujafanya makosa kukohoa sababu ukikaa na kikohozi utaaibika mbele za watu umeumia nini tenaHapana , hiyo sio dhima yangu, hilo nimelikumbuka tu. Kwani Shunie nimefanya makosa kukohoa? Ujue m0k nimeanzisha hii thread nimeumia kwa kiasi kikubwa, kila tendo afanyalo binadamu sio rahisi, imenichukua muda
Kwahiyo ni asali hiii hii ya nyuki ninayoijua au kuna nyingineIna maana hujui au ni dharau.... Hivi kwani una mizinga Shunie
Maliza mkuu,ukishindwa omba msaada, mimi niko vizuri kwenye hiyo sekta.Mkuu acha nimalize kabisa labda ntapona
Hivi jaman mbona nimekupokea vizuri mm au ulitaka nikubebe mgongoni ebu niambieNey nipo ila hali ya hewa siyo nzurii, mapokezi sio kama yalivyotarajiwa
Nakuja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] njoo nikunong'oneze.
Ahahha wahenga hawakukosea walivyosema mapenzi ni kikohozi[emoji3] [emoji3] [emoji3] kijana naona unaendelea kutema nyongo.
Acha niamini tuMbona waguna sasa, huamini?
Unataka kumdalalia auMaliza mkuu,ukishindwa omba msaada, mimi niko vizuri kwenye hiyo sekta.
Msikilize kijana asije akajinyongaAhahha wahenga hawakukosea walivyosema mapenzi ni kikohozi
Hapo sawaAcha niamini tu
Msema kweli mpenzi wa Mungu nisije nikamtesa kijana wa watu nafasi hakuna kama anataka kuwa rafiki wa kawaida namkaribisha sanaMsikilize kijana asije akajinyonga
Hayo umesema wewe sasa.Unataka kumdalalia au