General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Wahi sasa.Nakuja
MakubwaMuoga huyoo
Oops,namuone huruma kijana wa watu,ana bahati mbayaMsema kweli mpenzi wa Mungu nisije nikamtesa kijana wa watu nafasi hakuna kama anataka kuwa rafiki wa kawaida namkaribisha sana
SawaMwenye uzi
Tufurahi tuu rafiki yangu maisha yenyewe mafupi haya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ney leo unanifurahisha sana
Hii kazi sio rahis mkuuMaliza mkuu,ukishindwa omba msaada, mimi niko vizuri kwenye hiyo sekta.
Hapana naona ndio unapoelekeaHayo umesema wewe sasa.
Oooh lol nipo salama kumbe sasa. Ona mpk nafsi imefurahiiiHivi jaman mbona nimekupokea vizuri mm au ulitaka nikubebe mgongoni ebu niambie
Mbona nimeshafika mimiWahi sasa.
Ukishindwa semaHii kazi sio rahis mkuu
AiseehNey nipo ila hali ya hewa siyo nzurii, mapokezi sio kama yalivyotarajiwa
Young sitaki kumtesa masikini mkaka wa watuOops,namuone huruma kijana wa watu,ana bahati mbaya
Kwakweli acha tujipe raha tuTufurahi tuu rafiki yangu maisha yenyewe mafupi haya
Kauli kinzaniMsema kweli mpenzi wa Mungu nisije nikamtesa kijana wa watu nafasi hakuna kama anataka kuwa rafiki wa kawaida namkaribisha sana
Una ninii lakini youngUkishindwa sema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana mjaze tu NeyAiseeh
Ila usikate tamaa, huwenda akakufikiria usiku maana shunie anaupendo wa taratibu sana.
Kivipiii tenaKauli kinzani
Ney umenipa matumaini makubwa sanaa lol, ntakomaa hivo hivoo. Shunie nakupendaaaaaaaaAiseeh
Ila usikate tamaa, huwenda akakufikiria usiku maana shunie anaupendo wa taratibu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana mjaze tu Ney