makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nipo hapa nasubiri jibu lake ndugu yangu.Maka akikujibu uniite
MmmmhKwahiyo ni asali hiii hii ya nyuki ninayoijua au kuna nyingine
Shunie seriously nakupenda, i dont care any situation, elewa tu hivyo, whether utakuwa wangu or not we kila ukifungua app ya JF ujue kuna mtu mda wote yuko humu ndani kwa ajili yako[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]Hapana jaman usiseme hivyo
Wanyonyoe manyoya tu shunie akee maana hakuna namna, au we hutaki mapauni shunie akee!!Nipo maka akee watu wamezimikia muandiko na avatar fake
Hiyo kauli sijaipenda, style ya kumsifia kumbe ni ubahili, utapoteza bahati sasa.Hahahahahaa nimecheka aisee, wazo murua kwa wakati muruaaa...kwa jinsi nilivyo sasa Tigo pesa yake lazima isome but ni mwanamke asiekuwa na tamaa na cha mtu
[emoji23][emoji23][emoji23]fitina hizoEwaaa huyo ndio secretary wangu mtumie yeyr
Mihamala tu kwakwenda mbele [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya mihamala tuu
Woyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe mtumie sakayo ataniforwadia mahela hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo hivyo mkuu vyuma vimekaza ukiona mwenzako grisi inataka kumuangukia tunageuka madalali nasisi tule kidogo
Pita mitaa fulan hapo uone nilivyokomaa shem[emoji23][emoji23]Haya maneno ya kukata tamaa mie ndio sitaki kuyaskia, embu komaa kiume Shem
NipoCC:Sakayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman Happy birthday to u G Mungu wetu azidi kukulinda na kukutunza akubariki na kukupa maisha marefu [emoji120][emoji7]Unajua leo ni Birthday yangu, nimekuja kumbushwa na msg ya FB mda huu, nlikuwa sielewi kwann nimekuwa wa tofauti siku nzima ya leo, naona pia wewe umekuwa sehem ya furaha yangu leo lol!!!
Nakuona ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hapo mwanamke asiyekuwa na tamaa na cha mtu ndio ninii tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya maneno ya kukata tamaa mie ndio sitaki kuyaskia, embu komaa kiume Shem
Happy birthdayUnajua leo ni Birthday yangu, nimekuja kumbushwa na msg ya FB mda huu, nlikuwa sielewi kwann nimekuwa wa tofauti siku nzima ya leo, naona pia wewe umekuwa sehem ya furaha yangu leo lol!!!
Ahahahaaa kauli hiyo haina maana hiyoHiyo kauli sijaipenda, style ya kumsifia kumbe ni ubahili, utapoteza bahati sasa.
Sakayo wangu upo kumbee, umemaliza kuandaa dinna bila shakaWoyoooo
Omg [emoji22][emoji22] unataka kuniliza we mkaka jaman usinifanyie hivyo mpaka nimejisikia vibaya umeongea kwa hisiaShunie seriously nakupenda, i dont care any situation, elewa tu hivyo, whether utakuwa wangu or not we kila ukifungua app ya JF ujue kuna mtu mda wote yuko humu ndani kwa ajili yako[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Acha nimalizie kueleza hisia zangu hapa then nilale usingizi mzitoooo
Naomba mchango wako katka hiliNipo