Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Hapana jaman usiseme hivyo
Shunie seriously nakupenda, i dont care any situation, elewa tu hivyo, whether utakuwa wangu or not we kila ukifungua app ya JF ujue kuna mtu mda wote yuko humu ndani kwa ajili yako[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]

Acha nimalizie kueleza hisia zangu hapa then nilale usingizi mzitoooo
 
Unajua leo ni Birthday yangu, nimekuja kumbushwa na msg ya FB mda huu, nlikuwa sielewi kwann nimekuwa wa tofauti siku nzima ya leo, naona pia wewe umekuwa sehem ya furaha yangu leo lol!!!
Jaman Happy birthday to u G Mungu wetu azidi kukulinda na kukutunza akubariki na kukupa maisha marefu [emoji120][emoji7]
 
Shunie seriously nakupenda, i dont care any situation, elewa tu hivyo, whether utakuwa wangu or not we kila ukifungua app ya JF ujue kuna mtu mda wote yuko humu ndani kwa ajili yako[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]

Acha nimalizie kueleza hisia zangu hapa then nilale usingizi mzitoooo
Omg [emoji22][emoji22] unataka kuniliza we mkaka jaman usinifanyie hivyo mpaka nimejisikia vibaya umeongea kwa hisia
 
Back
Top Bottom