Mpaka sasa nimepata sifa za shunie kama 4 hivi
i. Mrembo
ii.white
iii.wowowo
iv.kibonge
Naamini atakuwa na jicho la kungu huyu dada na kiuno cha nyigu, ebu ongezeeni masifa yake mengine
Mkuu, just go with the flow...UZI KAMA HUU ULIOJAA MAHARAGE MABICHI UNAACHWA WAKATI KUNA NYUZI ZENYE MASHIKO ZINAFUTWA..RUBBISH
Kama amekujibu nitag nililipo jibu, kama bado akikujibu nitagUnauhakika ni mrembo?
Naunga hoja mkono.Mi Shunie nimfahamuye ni binti halisi mlimbwende wa Kibantu, mkweli, mcha Mungu, mwenye vipaji lukuki (vikiwemo uandishi), asiye na majivuno, msomi na mwenye busara sana. Ingekuwa inaruhusiwa ningeleta ushahidi wa haya niyasemayo lakini nimalizie tu kwa kusema kuwa Shunie ni mmojawapo wa mabinti ninaowaheshimu sana hapa JF....
Hongera sana kwa kuwa mdau wake!Naunga hoja mkono.
Kipindi sijazoeana naye humu, tuliwahi kukwazana kwenye uzi fulani. Baada ya kuwa nimemsoma na kugundua alichonacho kichwani nikamkubali pia nikamkumbusha sehemu tuliowahi kukwazana, akakumbuka na akakiri, tukacheka tukafurahi na tukasameheana.
Shunie ni mdau wangu sana humu jamvini!!
Ivi wewe sio mdau wangu eehh!![emoji5] [emoji5]Hongera sana kwa kuwa mdau wake!
Hapana, ningekuwa mdau wako ungeshaniambia...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ivi wewe sio mdau wangu eehh!![emoji5] [emoji5]
Nitag kwenye thread yako uliyozimikiwa nikakuambie[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapana, ningekuwa mdau wako ungeshaniambia...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ukimkosea anakuambia ukweli tu, mnayaongea yanaisha na urafiki unarudi pale pale. Mimi alishawahi kunipa ushauri wa maana sana mpaka nikashangaa. Namheshimu sana !!!Naunga hoja mkono.
Kipindi sijazoeana naye humu, tuliwahi kukwazana kwenye uzi fulani. Baada ya kuwa nimemsoma na kugundua alichonacho kichwani nikamkubali pia nikamkumbusha sehemu tuliowahi kukwazana, akakumbuka na akakiri, tukacheka tukafurahi na tukasameheana.
Shunie ni mdau wangu sana humu jamvini!!
Hii ni according to her storyNa wowowo lake si la mchezo mchezo.
Mkuu hii sijabahatika kuona, ila she is bright, nampenda kwa kuangalia her thoughtsNa wowowo lake si la mchezo mchezo.
AhahahaaaaaaHongera sana kwa kuwa mdau wake!
ulishaliona,? picha tafadhali [emoji56]Na wowowo lake si la mchezo mchezo.
Tupo wengi sanaHongera sana kwa kuwa mdau wake!
Mmmmmh...nawazoom nyie watuIvi wewe sio mdau wangu eehh!![emoji5] [emoji5]
Hapana, ningekuwa mdau wako ungeshaniambia...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109]Tupo wengi sana