HahahaNilikia nasubiri hili swali dada nilijua lazima ungeuliza
Wallah umenipa Baraka nyingi sana hapa Shunie, ahsante sanaaa, moyo unaotafuta hauwezi kosa panapofaaMe nakuombea upate jiko la kufanana na wewe akupende kwa kila kitu na usiache kumuomba Mungu akupe mke sahihi
EwaaaaaHela ndio kila kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madalali utawajua tu[emoji23]
Ujue shem we ni mchokozi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa hamna neno
Haya basi ulale salama ShunieYoung nimeshamjibu mm ndio mana nashangaa hulali mana ndio mida
Huu sasa uonevu kwa upande mmoja. Hujanijibu bado bt sio lazima huyo young ajue[emoji23][emoji23][emoji23]Young nimeshamjibu mm ndio mana nashangaa hulali mana ndio mida
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kupenda giza nako ni upendo ....
Najua unachoka sanaa, tunakuruhusu kulala mapema sisi acha tuendelee kuwanga humu labda mda fulani ukifika Shunie atanielewaKabisaaa bwana Shem
Najiandaa kulala
KweliiiiiKwani uongoooo
Ndiyo maana nilikwambia utakufa siku sio zako, achana na mali za watu kijana [emoji23]Mida yetu[emoji20][emoji20][emoji20]. Hili limenifikirisha sanaa
Ebu niambie amekujibuHahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua shem na wew tayari umeacha njia iliyo sahihi[emoji23][emoji23][emoji23]
SawaNajua unachoka sanaa, tunakuruhusu kulala mapema sisi acha tuendelee kuwanga humu labda mda fulani ukifika Shunie atanielewa
30 shemNaomba nikuulize
Uko na miaka ngapi???
Ameen G usiache kuomba kabisaWallah umenipa Baraka nyingi sana hapa Shunie, ahsante sanaaa, moyo unaotafuta hauwezi kosa panapofaa
Ulifikiri ule wimbo wa zilipendwa maromboso alipo imba ......WALE WAPIGA MADILI SASA HALI MBAYA ulimlenga Nani hasa?Kheeeee
Asante young na kwako pia Yesu akulindeHaya basi ulale salama Shunie
Nilitamani sana ungelieliza weweNilikia nasubiri hili swali dada nilijua lazima ungeuliza