Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi wacha tuwe njia moja shem, ila jitahidi tusipoteane. Ujue mie naanza kupata mashaka mbona shemeji yangu akiskia mambo ya mihamala anapotea njia?
Sasa tuwe njia moja maana mambo ni magumu kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ney mbavu zangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi wacha tuwe njia moja shem, ila jitahidi tusipoteane. Ujue mie naanza kupata mashaka mbona shemeji yangu akiskia mambo ya mihamala anapotea njia?
Sasa tuwe njia moja maana mambo ni magumu kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shem ukigusa mboni ya jicho lazima lifunge
 
Back
Top Bottom