GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
- Thread starter
- #641
Hilo neno G lina historia kubwa unanikumbusha mbali sana ShunieSawa G karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo neno G lina historia kubwa unanikumbusha mbali sana ShunieSawa G karibu sana
Sawa mamaaSakayo namuongelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahhaha kwahiyo nikuanzia 30 kuendelea
Hata Yesu alianza kazi kwenye umri wa 30 usiwe mwogaAhahhaha kwahiyo nikuanzia 30 kuendelea
AsanteSawa mwayaa mdada mzurii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli hiyo ni sehemu moja sensitive sana shemeji yangu
Acha nicheke dear hata nikinuna hakuna ntakachobadilishaJichekee tu G maisha yenyewe mafupi haya
Jaman ndio kuhusu yule ulimwandikiaga thread mmu na kuomba ushauriHilo neno G lina historia kubwa unanikumbusha mbali sana Shunie
Kabisa shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli hiyo ni sehemu moja sensitive sana shemeji yangu
30 kuendelea kushuka chini ya 30 ni kiben10Hata Yesu alianza kazi kwenye umri wa 30 usiwe mwoga
Hapana. Hilo jina alikuwa ananiitaga mdada niliempenda sana kipindi nikiwa Primary school, wote tulikuwa darasa moja. Me naitwa Goodluck yeye anapenda kuniita G. Ana historia yake huyoJaman ndio kuhusu yule ulimwandikiaga thread mmu na kuomba ushauri
Mkuu chukua hiki kisa wenda kitakusaidia...[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaa mna mamboo
Haya ndio maneno...Hiyo ni njia ambayo ungeitumia wewe mkuu, mimi nimetumia njia nyingine lakini lengo ni moja na mlengwa ameelewa
Nashukuru nimetoka huko30 kuendelea kushuka chini ya 30 ni kiben10
Ni kweli mkuu, kwa huyu dada sina alternative, nikianza kuelezea toka lini namfuatilia unaweza kunionea huruma, hata yeye pia angepata nafasi akaingia kwenye moyo wangu anaweza asiwe mbishi hata kidogo. Acha nimpe hisia zangu hapa naamin kama ni mtu mwema bado atanipa hiyo nafasi. Ahsante sana kwa ushauriMkuu chukua hiki kisa wenda kitakusaidia...
Kuna mwaka nili fall deeply in love kwa msichana fulani, kiukweli mpaka sasa hivi nampenda ila kosa nililofanya ni kumwaga sera kwenye simu...japo sikua na namna zaidi ya kutumia simu (maana alisafiri na tulikua mbali kidogo) ila mpaka leo najuta!!
Ni kweli mpaka sasa hivi nampenda G ila ndo ivo tena... hamna kazi ngumu kama kumshawishi mwanamke kwenye simu au kama hivi ulivyofanya, face to face unakua na chance kubwa ya kubeba kimwana maana ukimkodolea tu macho yuko hoi mpaka anasahau kusema NO anajikuta amesema YES bila kupenda!!!
Mtongozo hauna formula maalum ila kuna njia zina probability kubwa ya kubeba mke moja wapo ni face to face!!
Ila komaa mkuu hamna linaloshindikana hapa tanzania!!
Umri Wako Mie Shunie...??Hivi we una umri gani
Ney naomba nije pm kama hautojaliAiseeh
Ila usikate tamaa, huwenda akakufikiria usiku maana shunie anaupendo wa taratibu sana.
Ney endeleaSijui kwanini jamani
Pm yangu inatatizo la kiufundi.Ney naomba nije pm kama hautojali