Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Bado upo kwel umedhamiria shunie apate mchumba
Hapana aiseeh, lengo langu lilikuwa ni shunie apatiwe mihamala sasa bahati mbaya shemeji yangu huyu mihamala kwake ni sumu.
Anasema kugusa maeneo hayo ni sawa na kugusa mboni ya jicho lake lazma afumbe jicho.
Kwahiyo kwa kifupi mihamala kwake yeye ni sehemu sensitive sana.
Usiku mwema kakaake shunie.
 
Back
Top Bottom