Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Poa muosha naniliu habari yako nani kakuficha lakinimambo shunii umeadimika ka kanga za mawingu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa muosha naniliu habari yako nani kakuficha lakinimambo shunii umeadimika ka kanga za mawingu
Shem Baby...i miss youItakuwa unaota aiseh!
Hivi ni Ney huyuhuyu jirani yako ndo anakuficha hivi au kuna mwingine?
Akikujibu niite na mimi shem
Kwema?
Safi G za weweShunie habari za leo. Najua utapita maana thread ni yako[emoji37][emoji37][emoji37]
Nipo kanali mstaafuShunie njoo unaitwa
Ahahh sikutosi tupo pamojaMhenga mwenzio unanitosa nataka nipate dogodogo
joanah wangu tuPoa muosha naniliu habari yako nani kakuficha lakini
[emoji106]Ahahh sikutosi tupo pamoja
Naomba kufaham jina lako halisi,Safi G za wewe
Khaaaaa naitwa hivyo hivyo shunieNaomba kufaham jina lako halisi,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewejoanah wangu tu
hawa njiwa nani kawakurupua
bahati hiyo
Natoka kidogo nitarudi baadae shunie wangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unaenda wapi sasa na wakati shem darling ametokea
Jamani mgeni naingia na ww unatoka huku ukidai utarudi baadaye [emoji134] [emoji15]Natoka kidogo nitarudi baadae shunie wangu
Tunashare usingizi Kama free wifi na jirani yangu kipenzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuwa unaota kweli, maana siku hizi unalala sana mpaka umemwambukiza jirani yako Neybright usingizi.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jirani kipenzi naomba unisaidie kufikisha ujumbe nami nimemiss hadi naogopa kusema.Mpenzi wako carba kakumis embu mtafute
Nimekupeza nimekuhamu nimekukumbuka nimekumiss niendelee mama au niishie hapo kwanza.Itakuwa unaota aiseh!
Hivi ni Ney huyuhuyu jirani yako ndo anakuficha hivi au kuna mwingine?
Kama Kweri Unashida Na kunijua Bass Ungenifata Private Sio PublicHapana usicheke nimeuliza kwa sababu sasa mambo ya JLW inahusu niniii kuleta huku mambo za kule huwa zinabaki kule na ndio mana mods walitenganisha majukwaa
Sihitaji kukujua aisee ila ni utoto mambo ya jlw na kuleta hukuKama Kweri Unashida Na kunijua Bass Ungenifata Private Sio Public
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ney Mungu anakuonaNatoka kidogo nitarudi baadae shunie wangu
Nisaidie dada yangu Ney anionee huruma katika hili hanitendei haki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ney Mungu anakuona
Ebu mtumie muhamala kwanzaNisaidie dada yangu Ney anionee huruma katika hili hanitendei haki