Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Jaman ndio kuhusu yule ulimwandikiaga thread mmu na kuomba ushauri
Hapana. Hilo jina alikuwa ananiitaga mdada niliempenda sana kipindi nikiwa Primary school, wote tulikuwa darasa moja. Me naitwa Goodluck yeye anapenda kuniita G. Ana historia yake huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimechekaa mna mamboo
Mkuu chukua hiki kisa wenda kitakusaidia...

Kuna mwaka nili fall deeply in love kwa msichana fulani, kiukweli mpaka sasa hivi nampenda ila kosa nililofanya ni kumwaga sera kwenye simu...japo sikua na namna zaidi ya kutumia simu (maana alisafiri na tulikua mbali kidogo) ila mpaka leo najuta!!

Ni kweli mpaka sasa hivi nampenda G ila ndo ivo tena... hamna kazi ngumu kama kumshawishi mwanamke kwenye simu au kama hivi ulivyofanya, face to face unakua na chance kubwa ya kubeba kimwana maana ukimkodolea tu macho yuko hoi mpaka anasahau kusema NO anajikuta amesema YES bila kupenda!!!

Mtongozo hauna formula maalum ila kuna njia zina probability kubwa ya kubeba mke moja wapo ni face to face!!

Ila komaa mkuu hamna linaloshindikana hapa tanzania!!
 
Ni kweli mkuu, kwa huyu dada sina alternative, nikianza kuelezea toka lini namfuatilia unaweza kunionea huruma, hata yeye pia angepata nafasi akaingia kwenye moyo wangu anaweza asiwe mbishi hata kidogo. Acha nimpe hisia zangu hapa naamin kama ni mtu mwema bado atanipa hiyo nafasi. Ahsante sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom