He he namshkuru Mungu mwaka umenianzia vizuriNlikuwa napita nkaona mke mweeee ameukonga moyo wa mtu hapa
Utembeagi wewe[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nipo dadake majukumu tuUmepotea sana
Ukiniambiaga Iv Hata Kama Sina Pesa najiona Mim TajirNashkuru kwa kunielewa uwe na Amani
Ni mtu wa watu asiyependa dharauNaunga hoja mkono.
Kipindi sijazoeana naye humu, tuliwahi kukwazana kwenye uzi fulani. Baada ya kuwa nimemsoma na kugundua alichonacho kichwani nikamkubali pia nikamkumbusha sehemu tuliowahi kukwazana, akakumbuka na akakiri, tukacheka tukafurahi na tukasameheana.
Shunie ni mdau wangu sana humu jamvini!!
Hakuna kitu kizuri kama kujiamini na kujikubali hata kama huna mia ubarikiwe mnooUkiniambiaga Iv Hata Kama Sina Pesa najiona Mim Tajir
HallelujahNi mtu wa watu asiyependa dharau
KweliNi mtu wa watu asiyependa dharau
Mwaaaaaaaahhhh MamiiHakuna kitu kizuri kama kujiamini na kujikubali hata kama huna mia ubarikiwe mnoo
HongeraHe he namshkuru Mungu mwaka umenianzia vizuri
Pole kaka akeNipo dadake majukumu tu
Angalia pm yakonatamani sana kuiona figure yake,pliz let me see her
Asante sana ubarikiwe mnoShunie habari yako, leo nimekuombea sana.....weekend iwe nzuri kwako mpenzi wa moyo.
Ahahhah yaan weweHongera
[emoji120] [emoji120] [emoji120] nzuri pole na majukumu naweAsante dadake habar za kutimiza majukumu