Shunie: The thread is special for you.

Ngoja baadae kidogo nitarudi rasmi tuzungumze, sasahivi nipo busy kidogo nashughulikia swala la shunie nimeagizwa na shemej yangu [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Shem upendo wangu kwako haupoi hata siku mojaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti hivi umeharibu wapi lakini nilivyoona hiyo avatar tu nimehisi ni wewe
Sijajua hata hata mimi nimejishangaa tu nimeshakua broker mkuu
 
Ulianza kutangaza nia ya kugombea ubunge nasikia wananchi walikusubiri mpaka visigino vikaota machacha

Ukaja tena na swaga za kutafuta mchumba sijui ulipata




Juzi umesema tena unatafuta kazi ya uhasibu ,duu Leo mara ooh unampenda shunie

Unamjua huyo unaye mpenda au umependa jina kama ulivyokuwa unaota ndoto za kuokota ubunge chini ya mkorosho
 
Haya yote yanakusaidia nini? Mengine we are doing for funny, like kuna kitu kimekuuma mkuu, whats wrong??
 
Embu tupen mrejesho wakuu mmefikia wapi? je tuanze kupanga tarehe ya harusi?

Kama kuna harusi mniambie nitaanza kusanya michango kule jukwaa la siasa...wengine watakusanya majukwaa mengine!!
 
Uzi wa kumpenda Shunie na hayo mengine uliyoanza kuyachimbua yanahusiana na nini, hizi ni tabia za kike, you dont know me real, muulize hata huyo Shunie kama nimeshawahi mfuata pm, this is social media, you are lost mkuu. Akili zako ni za kitoto sana, usiumie kwa mambo usiyoyaelewa. Kunywa maji ya baridi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ebu mwache anipende tu hakuna namna kwahiyo ubunge amepata jaman nikuwe mke wa mbunge shunie mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…