Hakuna harusi kwangu nafasi imejaaEmbu tupen mrejesho wakuu mmefikia wapi? je tuanze kupanga tarehe ya harusi?
Kama kuna harusi mniambie nitaanza kusanya michango kule jukwaa la siasa...wengine watakusanya majukwaa mengine!!
Naomba kujua jinsia yakoWe are doing for funny[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseee! kwa hiyo ndio mmeamua kutunyima ulaji na january yote hii??Hakuna harusi kwangu nafasi imejaa
Karibu sana Mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ebu mwache anipende tu hakuna namna kwahiyo ubunge amepata jaman nikuwe mke wa mbunge shunie mimi
Duh, shemela huu uzi ndio nauona leo, kweli nilikuwa bado niko 2017[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ebu mwache anipende tu hakuna namna kwahiyo ubunge amepata jaman nikuwe mke wa mbunge shunie mimi
We are doing for funnyNaomba kujua jinsia yako
Hivi mkuu umeshindwa hata kuelewa tuko jukwaa gani?? Jiongeze kidogo and be GTWe are doing for funny
Just funny Mr come on buddy don't mind me anymore
Enjoy kibindankoy ya shunie byeeee!
Mkuu achana na hii kitu huyo tena sijui katokea wapi angeisoma thread mwanzo angeilewaUzi wa kumpenda Shunie na hayo mengine uliyoanza kuyachimbua yanahusiana na nini, hizi ni tabia za kike, you dont know me real, muulize hata huyo Shunie kama nimeshawahi mfuata pm, this is social media, you are lost mkuu. Akili zako ni za kitoto sana, usiumie kwa mambo usiyoyaelewa. Kunywa maji ya baridi
Wewe ni tapeli kama wana forex wenzakoHaya yote yanakusaidia nini? Mengine we are doing for funny, like kuna kitu kimekuuma mkuu, whats wrong??
Hela za mchango utaiba forex au?Embu tupen mrejesho wakuu mmefikia wapi? je tuanze kupanga tarehe ya harusi?
Kama kuna harusi mniambie nitaanza kusanya michango kule jukwaa la siasa...wengine watakusanya majukwaa mengine!!
Ujuaji nao mda mwingine haunaga maana, yeye amekurupuka tu bila kuelewa moral of the story, btw nishapotezea. Lets enjoy chit chat[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu achana na hii kitu huyo tena sijui katokea wapi angeisoma thread mwanzo angeilewa
Forex ndio nini mkuu, itabidi unipe darasa la hiyo kituWewe ni tapeli kama wana forex wenzako
Duh mkuu haya yametokea wapi? Shinue njoo uamue ugomvi hukuWewe ni tapeli kama wana forex wenzako
Umesoma na ukaelewa nilichoandika mkuu?Hela za mchango utaiba forex au?
Pesa ya ada unayo?Forex ndio nini mkuu, itabidi unipe darasa la hiyo kitu
Umelenga sehem mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Duh mkuu haya yametokea wapi? Shinue njoo uamue ugomvi huku
Acha kuwa na wivu mkuu. Wish ur enough matured, vingine visivyohusika kwenye huu uzi unavileta kwa mantiki ipi?Pesa ya ada unayo?
Hakuna harusi kila mtu apambane na hali yakeAiseee! kwa hiyo ndio mmeamua kutunyima ulaji na january yote hii??
Shemela pole sanaDuh, shemela huu uzi ndio nauona leo, kweli nilikuwa bado niko 2017
Hao mtu na mtani wake wanajuanaDuh mkuu haya yametokea wapi? Shinue njoo uamue ugomvi huku