Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Uzi wa kumpenda Shunie na hayo mengine uliyoanza kuyachimbua yanahusiana na nini, hizi ni tabia za kike, you dont know me real, muulize hata huyo Shunie kama nimeshawahi mfuata pm, this is social media, you are lost mkuu. Akili zako ni za kitoto sana, usiumie kwa mambo usiyoyaelewa. Kunywa maji ya baridi
Mkuu achana na hii kitu huyo tena sijui katokea wapi angeisoma thread mwanzo angeilewa
 
Back
Top Bottom