kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
numefurahii kuona like ya shunie sasa nasubiri aweke nenowasalaam wakuu.
huyu mwanamke mwa huku Jf amekuwa akininyima usingizi
hasa pale ninapoona AVATAR yake wakuu
naombeni kama leoo hajaenda kanisani asogee karibu walai tupige story
huenda ikanisaidiaa wakui
Naombeni kuwasilishaa....
Mkuu pole sana kwahiyo hulali kwa ajili yangu ni hizi avatar fake ndio zinakuchanganya hivi halaf nilijua huu uzi wa siku zote kumbe huu wa leo mpya aahhahah mods sio watu wazuri kabisa wakaunganisha asante sana kwa kunipenda barikiwa mnooowasalaam wakuu.
huyu mwanamke mwa huku Jf amekuwa akininyima usingizi
hasa pale ninapoona AVATAR yake wakuu
naombeni kama leoo hajaenda kanisani asogee karibu walai tupige story
huenda ikanisaidiaa wakui
Naombeni kuwasilishaa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo Mwanamke pekee mwenye ' Mbunye Chocolate ' ( namaanisha tamu ) kuliko Wanawake wengine wote wenye ' Mbunye Klorokwini ' ( namaanisha mbaya ) wanaopatikana Kusini mwa Jangwa la Sahara. Jina lake tu lenyewe ukilitaja kama Wewe ni Mwanaume ' Rijali ' lazima ' ujipizie ' Kimtindo.
Sasa tujichunguze niniiiMwenzako juzi kati alikuja na huu uzi...
Shunie: The thread is special for you.
Na wewe tena umekuja na huu wa kwako daah!!
Lakini unawezaje ukampenda mtu ambaye hujawahi kumuona, nnasema hivyo kwa maana ungekua umemuona wala usingeanzisha uzi, mngemalizana huko mtaani!!
NB: Sometimes wadada inabidi mjichunguze! kuna kitu wenda hakiko sawa...
Acha bana ebu tuma mahela kwanza tena mengiiiiimkuu Genta mimi nimempenda kiukweli huyu mwanamkee, niko tyrii kwa lolote
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]avatar isikuongopee kama si verified user sikujuwa kama cha urembo fulani angekuwa kimbaumbau vile pengine hakuwa yeye labda
watu wabaya sana
Basi tutakutumia za kwetu ili ufurahi...... in love na picha, hizo pic wanadokoa pahala sio zao
Ahahahha mwakani tenaShunie ameshawahiwa Mkuu, bahati yako mbaya.
Jaribu mwakani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohooo,mimi ndiyo mwenyewe,labda usubiri nife.
Akikujibu niite carbaUnampango wa kumuacha mwakani?
Cc:Shunie
Mwaka wako huu....Kwani hii thread nyingine au kwakweli hiyo tabia siipendi kabisa
Cc:Youngblood hebu njoo huku utoe ufafanuzi tafadhaliAkikujibu niite carba
Daah mahela teena...Acha bana ebu tuma mahela kwanza tena mengiiiii
Hahaha, kwakweli Shunie mimi siwezi kumuacha,hapo nilijaribu tu kupunguza ukali wa majibu ili kijana asipanic maana anaweza akaishia kujinyonga au kubugia sumu ya panya.Unampango wa kumuacha mwakani?
Cc:Shunie
Hahaha,au unasemaje Shunie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahhaha shunie mm Mungu nisaidie tu na huu mwaka watume mahela basi sio kusifia na mathreadMwaka wako huu....
Shahidi sheikh Sharif
Sasa mkuu unanipendaje bure bureDaah mahela teena...
Young nacheka mbavu sina [emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha, kwakweli Shunie mimi siwezi kumuacha,hapo nilijaribu tu kupunguza ukali wa majibu ili kijana asipanic maana anaweza akaishia kujinyonga au kubugia sumu ya panya.
Sina la kusema umemalizaHahaha,au unasemaje Shunie
siwezi kueleza mkuu ila nakupenda sanaaSasa mkuu unanipendaje bure bure