Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

wasalaam wakuu.
huyu mwanamke mwa huku Jf amekuwa akininyima usingizi
hasa pale ninapoona AVATAR yake wakuu
naombeni kama leoo hajaenda kanisani asogee karibu walai tupige story
huenda ikanisaidiaa wakui
Naombeni kuwasilishaa....
numefurahii kuona like ya shunie sasa nasubiri aweke neno
 
wasalaam wakuu.
huyu mwanamke mwa huku Jf amekuwa akininyima usingizi
hasa pale ninapoona AVATAR yake wakuu
naombeni kama leoo hajaenda kanisani asogee karibu walai tupige story
huenda ikanisaidiaa wakui
Naombeni kuwasilishaa....
Mkuu pole sana kwahiyo hulali kwa ajili yangu ni hizi avatar fake ndio zinakuchanganya hivi halaf nilijua huu uzi wa siku zote kumbe huu wa leo mpya aahhahah mods sio watu wazuri kabisa wakaunganisha asante sana kwa kunipenda barikiwa mnooo
 
Ndiyo Mwanamke pekee mwenye ' Mbunye Chocolate ' ( namaanisha tamu ) kuliko Wanawake wengine wote wenye ' Mbunye Klorokwini ' ( namaanisha mbaya ) wanaopatikana Kusini mwa Jangwa la Sahara. Jina lake tu lenyewe ukilitaja kama Wewe ni Mwanaume ' Rijali ' lazima ' ujipizie ' Kimtindo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenzako juzi kati alikuja na huu uzi...

Shunie: The thread is special for you.
Na wewe tena umekuja na huu wa kwako daah!!

Lakini unawezaje ukampenda mtu ambaye hujawahi kumuona, nnasema hivyo kwa maana ungekua umemuona wala usingeanzisha uzi, mngemalizana huko mtaani!!

NB: Sometimes wadada inabidi mjichunguze! kuna kitu wenda hakiko sawa...
Sasa tujichunguze niniii
 
Back
Top Bottom