Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
Haha majibu ya kiutu uzima hayo [emoji12] [emoji14] [emoji13]Mkuu asante sana kwa kunikubali ubarikiwe mno [emoji120][emoji7] na kuwa shabiki wangu mana kila ninachocomment unakifatilia unipe na mahela basi jaman sio unanikubali na kunipenda bure bure ahaha
Karibu uzi ni wako huu mtu kafa kaozaNimeshakuja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dangote og atakoma aiseeNdo maana nilikugawa kwa dangote og[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio jf yetu hiyoKila siku mambo yaibuka mapya humu
MmhMkuu soma vizuri thread yake
Acha kabisa, najikuta nacheka tuu pale Bonny atakapokusahau siku mkionana, sio kwa sifa hizo ulizomwagiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahah Ney kama nakuona
Ananiharibia mwambie akae kimya tuNimefurah tuu bon
Naona unakanusha sifa za mlimbwende kisirisiri.
Maana kusema kwamba utamsahau it means hana sifa hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwamba nakanusha inawezekana sehem ya wowow mie bado hajaamua na mim niioneNimefurah tuu bon
Naona unakanusha sifa za mlimbwende kisirisiri.
Maana kusema kwamba utamsahau it means hana sifa hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa shunie mawowowoAnaniharibia mwambie akae kimya tu
Aiseeeee hili suala kuendelea kuwa single inabidi nilipatie uvumbuziPeke yako ndio hauna couple mkuu
Pm yangu ipo wazi siku zote sema tu wanakera tu wazee wa salaam wanasalimia hao kwa siku hata mara 10 si waende radio one wakatume salaam sio kujaziana pmNajua hilo dadaake kazi kwako kama pm yako iko wazi leo itafurika kwa wapenda wowowo.😛😛😛
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana aiseeh
Sisi ni copo sio couple
Ha ha ha ha hv kumbe unanidai nilisahau nweis uje uchukue badae ila uje na liwowowo lako ha ha ha ahaaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]bonny sitaki mm halaf naomba hela yangu uliyonihaidi
Kumbeee sasa ananipenda comments zangu au avatar fake hapo bado hajamuona shunie ogSoma mstar wa mwisho hapo mdogo wangu uone
Kazi hipo kweliiii ....sakayo hasijaribuu kabisaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dangote og atakoma aisee
Aligawika au alishindikana?Ndo maana nilikugawa kwa dangote og[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu umesahau me mwenyewe si mtu mzima kama weweHaha majibu ya kiutu uzima hayo [emoji12] [emoji14] [emoji13]
AiseeeKaribu uzi ni wako huu mtu kafa kaoza
Na inahitaji moyo kweli sie wenye mioyo isiyo na choyo ndiyo twafaa kulea watoto weupe wenye vyura kama hawa.
Basi poa furahia uwepo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa, najikuta nacheka tuu pale Bonny atakapokusahau siku mkionana, sio kwa sifa hizo ulizomwagiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]