Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Mkuu asante sana kwa kunikubali ubarikiwe mno [emoji120][emoji7] na kuwa shabiki wangu mana kila ninachocomment unakifatilia unipe na mahela basi jaman sio unanikubali na kunipenda bure bure ahaha
Haha majibu ya kiutu uzima hayo [emoji12] [emoji14] [emoji13]
 
Ila mzee unajua kulea aisee mpaka mtoto anakua na chura unamuangalia tu itakuwa sio ugonjwa wako kabisa
Na inahitaji moyo kweli sie wenye mioyo isiyo na choyo ndiyo twafaa kulea watoto weupe wenye vyura kama hawa.

Basi poa furahia uwepo.
 
Acha kabisa, najikuta nacheka tuu pale Bonny atakapokusahau siku mkionana, sio kwa sifa hizo ulizomwagiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom