Shunie: The thread is special for you.

Ha ha ha ha hv kumbe unanidai nilisahau nweis uje uchukue badae ila uje na liwowowo lako ha ha ha ahaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuja shunie yule unayemjua hivi umesahau zawadi yangu jaman ya hela au imeyeyuka
 
Na inahitaji moyo kweli sie wenye mioyo isiyo na choyo ndiyo twafaa kulea watoto weupe wenye vyura kama hawa.

Basi poa furahia uwepo.
Bamdogo na wewe tena
 
Hahahahaa mkuu ongea nae naona anaruka comments zangu, huyu mrembo kwake nimejikuta sina hali
Mkuu eti unanipenda yaan ni kimapenzi me najua unanipenda tu kama hivyo kufatilia ninachopost
 
Chaurembo [emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]nakupendaga tu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] me pia Demiss wangu sema unaniudhi kitu kimoja kutomfungukia yuleeee yuleee si umejua eenh mfate pm anza kumzoea kwa salaam niniii mengine yatajileta usije ukakufwa na utamu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…