Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Shunie unataka uthibitsho gan mwengne kama jamaa kakuelewa na kafa kabisa embu fungua moyo wako nae apate pambazuko la nafsi
Ahsante sana mkuu, roho yako nyeupee kama kaniki ya mzungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eti waende radio one[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namtumia salaam Shunie wa JamiiForums namtakia kila la heri na baraka katika mwaka huu mpya wa 2018. Ujumbe: tutakula au fitina!? lol!
Ewaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivyo hivyo na watumie ndugu zao walio vijijini
 
Wewe ndiye uliyeharibu kwa kushangaa kwasauti mpaka kila mtu akagundua kwamba mlimbwende hana wowow

Ulisahau kama siku hizi kuna skintite za sponchi yaan ni zaidi ya wowow [emoji26]
Hapana sijaharbu ney bwana mie nilishtuka tu unajua siku hz teknolojia imekuwa kubwa sana usikute mie nafanyiwa editing tu
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] me pia Demiss wangu sema unaniudhi kitu kimoja kutomfungukia yuleeee yuleee si umejua eenh mfate pm anza kumzoea kwa salaam niniii mengine yatajileta usije ukakufwa na utamu wako
Mambo ya kungwi hayo
 
Hapana sijaharbu ney bwana mie nilishtuka tu unajua siku hz teknolojia imekuwa kubwa sana usikute mie nafanyiwa editing tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom