[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kule bado yupoo ila kashapewa warning
Behaviourist huwa ananichekesha sana kuulizia Wowowo kila mara, nikimkuta hasa MMU lazima nimtanie kwa kumkumbusha [emoji196] [emoji196] [emoji196] kama ipo au la.Najua ndio mambo anayopenda rafiki yangu namwambia kabisa nina chura avatar ya miss natafuta inisubiri mara 2
Yaan Ney kama nakuona bonny anavyokumaliza [emoji3][emoji3]Ahahahaaaaaa
KumbeeeeMbali na kukusifia amejieleza wazi kuwa anakupenda
Ha ha ha ha hv nilikuhaid enhee ila mashart yalikuwa meng sana ile siku ila hakijaharbika kitu embu malizna na mtoa mada hapa huwez jua unaweza ukakuta umeanza mwaka kwa neema sio kwa ujasir huu alioufanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuja shunie yule unayemjua hivi umesahau zawadi yangu jaman ya hela au imeyeyuka
mmmmmh[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] me via Demiss wangu sema unaniudhi kitu kimoja kutomfungukia yuleeee yuleee si umejua eenh mfate pm anza kumzoea kwa salaam niniii mengine yatajileta usije ukakufwa na utamu wako
Wewe ndiye uliyeharibu kwa kushangaa kwasauti mpaka kila mtu akagundua kwamba mlimbwende hana wowowNeybright unaona sasa ushaharbu mdogo wangu anapingulua undugu kabisaa
Mama mie sina neno kwenye hili bonny asikimbie na mahari tu.Bamdogo na wewe tena
Uliugua ninii etihaha huu ndiyo ugonjwa wangu bwana sema ukanizidia nikajikuta nimeugua kusikokawaida
Hapana aisee nimeshamalizana nae hapa nimemshkuru nimemjibu vizuri Mungu azidi kumbariki nampenda piaHa ha ha ha hv nilikuhaid enhee ila mashart yalikuwa meng sana ile siku ila hakijaharbika kitu embu malizna na mtoa mada hapa huwez jua unaweza ukakuta umeanza mwaka kwa neema sio kwa ujasir huu alioufanya
Inakuja mkuu subiriKapicha basi wana jamvi [emoji23][emoji23]
Niniii sasammmmmh
Pm yangu ipo wazi siku zote sema tu wanakera tu wazee wa salaam wanasalimia hao kwa siku hata mara 10 si waende radio one wakatume salaam sio kujaziana pm
Yaan kanimaliza kwenye mshangao wa wowowoYaan Ney kama nakuona bonny anavyokumaliza [emoji3][emoji3]
Hii Thread ni special kwa ajili yako mamaa, yote yapokee kwa mikono miwili but wahenga walisema aisifue mvua imemnyea,karibu sana mremboMkuu eti unanipenda yaan ni kimapenzi me najua unanipenda tu kama hivyo kufatilia ninachopost