Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Akwende hukoMimi nipo kama sipo, unajua tena vyuma vimekaza shem.
Shunie alikutafuta sana leo.
Anajua pa kunipata hajaamua tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akwende hukoMimi nipo kama sipo, unajua tena vyuma vimekaza shem.
Shunie alikutafuta sana leo.
Jirani jiandae kesho zamu yako kukusifia.Asante
Hivi upoo
We acha tuUlikua wapi lakini
Naona mambo sio mabayaAhahhaha hongera ya nini sasa
Alikuwa anadai kote huko hupatikani,umefichwa sehemu unakula mema ya duniaAkwende huko
Anajua pa kunipata hajaamua tuu
Mimi mzima wa siha njema.[emoji4][emoji4][emoji4]hujambo lakini?
NdiwooAmeshakuwa shemeji tena
Mkuu nimeshasema ni upendo wa kawaida tu.Vijana wa siku hizi, hamkawii kabisa kutamani mali za watu... Kuna ule msemo wenu mnasema hainaga ushemeji sijui.
Mie sina shaka ShemKaribu sanaa shemeji, bila shaka umeyakuta yaliyomo, nipe baraka zako na wewe
SawaGeuka nyuma, ila kwa tahadhari sana
Mkuu umepata mrejesho hapa?Hahahahaa mkuu ongea nae naona anaruka comments zangu, huyu mrembo kwake nimejikuta sina hali
KhaaaKuna sehem nilimkuta kwenye uzi mmoja mmu huko anamwambia mwenye uzi aende kwake
Hapo sawa sawa mkuuMkuu nimeshasema ni upendo wa kawaida tu.
Sa unacheka nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
HahahaKwahiyo unataka mpk akwambie anaomba penzi ndio umuelewe?!
Sio kweliKhaaa
Nakumbuka Alisha wai Sema Yeye ni Mpenzi wa ShangaMpaka sasa nimepata sifa za shunie kama 4 hivi
i. Mrembo
ii.white
iii.wowowo
iv.kibonge
Naamini atakuwa na jicho la kungu huyu dada na kiuno cha nyigu, ebu ongezeeni masifa yake mengine
HahahaOffer yangu ya vifungashia asali bado ipo
Kichwa kichafu hajambo kabisa, naskia mmeachana jamani shida ni nini?Safi tu habari ya kutekwa?Kk hajambo?
Hey bangoshaMkuu, just go with the flow...