GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
- Thread starter
- #501
Ahsante sana mkuu, mchome chome na sindano mda mwingine aeleweNi katika harakati za kumsaidia na kumnusuru kijana mwenzangu nafsi yake isije kupata mfadhaiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu, mchome chome na sindano mda mwingine aeleweNi katika harakati za kumsaidia na kumnusuru kijana mwenzangu nafsi yake isije kupata mfadhaiko.
Hapo mwanamke asiyekuwa na tamaa na cha mtu ndio ninii tenaHahahahahaa nimecheka aisee, wazo murua kwa wakati muruaaa...kwa jinsi nilivyo sasa Tigo pesa yake lazima isome but ni mwanamke asiekuwa na tamaa na cha mtu
Toka lini umeanza hizi mambo youngNi katika harakati za kumsaidia na kumnusuru kijana mwenzangu nafsi yake isije kupata mfadhaiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe mtumie sakayo ataniforwadia mahela hayoNtumie no shunie ulete na mrejesho humu
Jaman poyeeeNi upendo wangu kwako tu unanitesa Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo hivyo mkuu vyuma vimekaza ukiona mwenzako grisi inataka kumuangukia tunageuka madalali nasisi tule kidogo
Hujaelewa au unataka kusemaje hapoHapo mwanamke asiyekuwa na tamaa na cha mtu ndio ninii tena
Hapana jaman usiseme hivyoUnanikatisha hadi tamaa ya kuishi badala ya kupenda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeonaa mkuu shunie hela hiii tule wote asee.
SijaelewaHujaelewa au unataka kusemaje hapo
Wanaume tuna roho nzuri sana hiyo huwa tunazaliwa navyoToka lini umeanza hizi mambo young
CC:Sakayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe mtumie sakayo ataniforwadia mahela hayo
Sijui kwanini jamaniKijana anakata tamaa mapema sana
Nilikuwa sijuiWanaume tuna roho nzuri sana hiyo huwa tunazaliwa navyo
EwaaahNey umenipa matumaini makubwa sanaa lol, ntakomaa hivo hivoo. Shunie nakupendaaaaaaaa
Ewaaa huyo ndio secretary wangu mtumie yeyrCC:Sakayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu agiza kinywaji unachokunywa bill ije kwangu tena mwambie atume mengiii hivyo tusenti
Unajua leo ni Birthday yangu, nimekuja kumbushwa na msg ya FB mda huu, nlikuwa sielewi kwann nimekuwa wa tofauti siku nzima ya leo, naona pia wewe umekuwa sehem ya furaha yangu leo lol!!!Sijaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahhah Ney unamjaza kaka wa watu
Haya maneno ya kukata tamaa mie ndio sitaki kuyaskia, embu komaa kiume ShemMoyo sukuma damu acha kiherehere maana ukiambiwa ukweli unanyong'onyeaaaa