Shunie you're my everything...

Status
Not open for further replies.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hongeraa mdogo wangu... Naomba tu nicheze kwaito msije ishia vichakani....

Nawapenda
Asante dada ake tunakupenda sana unalijua hilo jaman ahhahah kuishia vichakani vipiii
 
ameeen ameenn
mwanaume kifua kabisa. masuala ya kuja kudhalilishana hapa hatuyataki na tutampeleka kwa kaka zetu wampe somooo
Nitaweka wapi uso wangu mie jaman nije kudhalilishwa kama nawaona wazee wa kuliamsha dude
 
Naona mkuu kule jukwaani haitoshi umeamua kuja na uzi kabisa

Shunie msikilize lee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…