Shunie you're my everything...

Status
Not open for further replies.
Sitakuangusha nyakanga wangu ya uvunguni ya uvunguni wanaotoa vya uvunguni kibarazani hao si unajua tunawaita msungo
kumbe mwari wangu wajua eeeeehhh...kua kuna wasungooo...

sasa nataka ujifunze kutia maji kinywaaa..mda woteee!!!ili usipate ongea ya ndani kwenuu
 
tena utulieee...sisi wa pwaniii!!!kuna msondo sie kwetu!!wafundwa mamaaaa...kimyaaaa!!
Wavuvi warudi mbio,na vyombo vimegongana,kuna papa usingizi jitahadharini vijana,papa limetoa penzi na mawimbi linatawanya,vidagaa na mkizi leo mtaliwa mnaona [HASHTAG]#pwani2pwani[/HASHTAG] Shunie upooo
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eeehh!nataka tuone umuhimu wa unyago na nyakanga kwako...maana usungo haujawahi muacha mtu salamaa...
Usungo haujawahi muacha mtu salama kabisa mtoto wa kike unatakiwa uwe na siri vya ndani vinabaki ndani sio uliyofanya yote chumbani unakuja kuyamwaga hadharani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…