Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Tigo Tanzania wanatakiwa kujibu tashwshi za Wateja Wao Wanahoji ni kwa nini Wanakata Bando 20 Au 30 katika kila awamu ya manunuzi yake.
Je, ni hii ni tashwishi yake tu au ni pamoja na wateja wote wa Tigo? Kama kuna mteja mwingine wa Tigo amekutana na shida kama hiyo. Aseme hapa kwa sababu Tigo au wawakilishi wao Waweze Kufahamu Na Kuliwasilisha Kwa Uongozi.
Wateja Wana Maswali Yanayowatatiza kuhusiana Na Jambo Hilo
Je, Tigo hufanya kusudi au matatizo ya kiufundi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni Kuhusiana Na kile Ambacho Kinaendelea?