Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Mimi ikibaki hata 50 wanasema limeisha wehu sana waleTigo Tanzania wanatakiwa kujibu tashwshi za Wateja Wao Wanahoji ni kwa nini Wanakata Bando 20 Au 30 katika kila awamu ya manunuzi yake.
Je, ni hii ni tashwishi yake tu au ni pamoja na wateja wote wa Tigo? Kama kuna mteja mwingine wa Tigo amekutana na shida kama hiyo
aseme hapa kwa sababu Tigo au wawakilishi wao Waweze Kufahamu Na Kuliwasilisha Kwa Uongozi.
Wateja Wana Maswali Yanayowatatiza kuhusiana Na Jambo Hilo
Je, Tigo hufanya kusudi au matatizo ya kiufundi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni Kuhusiana Na kile Ambacho Kinaendelea
Binafsi ai naona option nzuri sana tu. Zikibaki mb30 wanacancel access baadhi ya maeneo. Ila inakuruhusu ku access sim banking au mobile money apps kwaajili ya ku recharge.Tigo Tanzania wanatakiwa kujibu tashwshi za Wateja Wao Wanahoji ni kwa nini Wanakata Bando 20 Au 30 katika kila awamu ya manunuzi yake.
Je, ni hii ni tashwishi yake tu au ni pamoja na wateja wote wa Tigo? Kama kuna mteja mwingine wa Tigo amekutana na shida kama hiyo
aseme hapa kwa sababu Tigo au wawakilishi wao Waweze Kufahamu Na Kuliwasilisha Kwa Uongozi.
Wateja Wana Maswali Yanayowatatiza kuhusiana Na Jambo Hilo
Je, Tigo hufanya kusudi au matatizo ya kiufundi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni Kuhusiana Na kile Ambacho Kinaendelea
Wasitupangie matumizi eti simu Bank,unaongea kama maskini sanaBinafsi ai naona option nzuri sana tu. Zikibaki mb30 wanacancel access baadhi ya maeneo. Ila inakuruhusu ku access sim banking au mobile money apps kwaajili ya ku recharge.
Umeshawai kufikiria ukosafarini, bundle limekata. Na huwezi kuaccess banking apps ku recharge
Maskini sio yule anaelalamikia 30mbs..Wasitupangie matumizi eti simu Bank,unaongea kama maskini sana
USSR
Bando lako kwanini upangiwe matumizi?.Binafsi ai naona option nzuri sana tu. Zikibaki mb30 wanacancel access baadhi ya maeneo. Ila inakuruhusu ku access sim banking au mobile money apps kwaajili ya ku recharge.
Umeshawai kufikiria ukosafarini, bundle limekata. Na huwezi kuaccess banking apps ku recharge
Niliwapigia simu juzi kati baada ya kubaki MB 38 lakini nikawa siwezi kuangalia hata jamii forum.Tigo Tanzania wanatakiwa kujibu tashwshi za Wateja Wao Wanahoji ni kwa nini Wanakata Bando 20 Au 30 katika kila awamu ya manunuzi yake.
Je, ni hii ni tashwishi yake tu au ni pamoja na wateja wote wa Tigo? Kama kuna mteja mwingine wa Tigo amekutana na shida kama hiyo. Aseme hapa kwa sababu Tigo au wawakilishi wao Waweze Kufahamu Na Kuliwasilisha Kwa Uongozi.
Wateja Wana Maswali Yanayowatatiza kuhusiana Na Jambo Hilo
Je, Tigo hufanya kusudi au matatizo ya kiufundi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni Kuhusiana Na kile Ambacho Kinaendelea
Wanajuwa kule watapigwa hela nyingi ya kuwalipa waleππππ