Shutuma dhidi ya Tigo ukibakiza MB 20 au 30 wanazuia mtandao

Tumieni VPN nyie bwiga elf 10 Kwa mwezi Kwa matumizi unlimited siyo haba.
 
Hizo
Hizo sio tuhuma bali ni uhalilsia na ni wizi Tgo wanaufanya, mimi nishahidi inanitokea mara zote kuanzia Mb 60 inaslow down then ndo byebye, imefika mahali nishazoea sasa wizi wao
 
Kwangu ilikua hivyo kila inapobaki mb 50 kushuka chini siwezi kuperuzi , nikaja kugundua ukibadili kutoka 4g kwenda 3g zinapiga kazi kama kawa , kwahyo nadhani speed ya mtandao inasababisha zisifanye chochote , au zifanye kazi kwa baadhi ya huduma tu
 
Mimi ilibaki 76.9MB wakazuia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii ni kweli aisee ata mm imenitokea juzi
Waache uhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…