Shutuma hizi kuhusu Befoward zina ukweli wowote..

Tamani niwaalike mje wakati wa kushusha magari muone watu wanavyohangaika kuibusti ili ishuke
Gari unakuta limekaa mwezi mzima melini... betri yenyewe imechoka...kweli unategemea lifike bandari betri ikiwa na uwezo wa kuwasha gari..?

Na ndiyo maana wakishalishusha melini siku unachukua unakuta wameliwsha linaendelea kunguruma ili kuchaji betri....

Mbona ni hisabati ndogo tu kuliko hata za darasa la pili...?[emoji41][emoji41]
 
Hutoa ushauri wa kitaalamu sana na hawana tamaa ya kumshawishi mteja anunue gari lisilo na ubora. Vile vile ni washauri wazuri sana inapokuja ukubwa wa engine , ushauri wateja kununua magari ya engine ndogo ambayo ni rahisi kuuza kuliko engine kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…