Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Gari unakuta limekaa mwezi mzima melini... betri yenyewe imechoka...kweli unategemea lifike bandari betri ikiwa na uwezo wa kuwasha gari..?Tamani niwaalike mje wakati wa kushusha magari muone watu wanavyohangaika kuibusti ili ishuke
Na ndiyo maana wakishalishusha melini siku unachukua unakuta wameliwsha linaendelea kunguruma ili kuchaji betri....
Mbona ni hisabati ndogo tu kuliko hata za darasa la pili...?[emoji41][emoji41]