Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JAY MSANGI anakula dili na wazungu ili awatengenezee rekodi zao.kweli, lakini Mayweather na Tyson hawawezi kusema "nimewekewa madawa machoni na promoter wangu nikapata upofu na tumbo la kuharisha..."
watamuuliza promoter ndio mpishi wako?
and what was the motive, ushindwe ili iweje? Oooh, ili tushindwe ili wazungu wapate rekodi nzuri, mzungu akipata rekodi Juma anafaidika vipi, Juma Msangi mzungu?
kwa hiyo huwezi kulinganisha shule ya mtaani ya Mayweather na Tyson na hawa wa kwetu hawa, mtu ambae hajaenda shule Marekani ukikatana nae barabarani anakuwa na upeo wa uchambuzi wa mambo kama au kuzidi PhD wa Tanzania.
Yule mzee anachekesha sanaa☆daah Mbona kibondia chenyewe kama mzee matata wa mizengwe? Kimwili chenyewe hicho dah hapana msangi anasingiziwa
Acha ufwala na ww?! Si umjibu mtu ataka kujua?Stupid question.
Siku zake zinahesabika huyo watu wameshamchoka na utapeli wake.Promoter mwenyewe tu kakaa kihuni huni anaachaje kufanya hujuma huyo.....anatuhuma kibao huyu jamaa na sujui kwanini hashughulikiwi
JAY MSANGI anakula dili na wazungu ili awatengenezee rekodi zao.
Stupid reply from brainless idiot!!Stupid question.
Huwa sielewi maana mkanda huo huo unaona unapiganiwa morogoro unaitwa wa dunia na mshindi akitwaa anakwambia ametwaa mkanda wa dunia au wa afrika na tena unaona kuna mzungu au mwarabu ana mkanda ule ule je mgawanyo wake ukojeSwali zuri hili.
Huyo msangi simpendi ..ni tapeli haswaa..namdai pesa mbuzi tu kenge huyo tangu 2016.. Hafai hata kidogo
Wewe hujui fitina wewe usiongee kabisa.hayo ya kutapeliana na Msangi ni mengine, hayatuhusu, lakini bondia kusema promoter wako kakuwekea madawa machoni na tumboni basi wewe utakuwa ni bogus bondia anyway...
first rule of boxing is to "protect yourself at all times"!
wewe unasinziaje mchana mpaka promoter anakunyunyiza madawa ya upofu?
promoter anatusababishia matumbo ya kuharisha, kwani promoter ndio mpishi?
such a ridiculous excuse for losing.
Wewe hujui fitina wewe usiongee kabisa.
Kumlinganisha Floyd Mayweather na hawa wala unga ni utani wa kufungia mwakaMkuu wa mkoa hajui kuandika.
Wasanii kibao hawajui kuandika.
Floyd Mayweather hata kusoma hajui nini kuandika.