SHUTUMA: Jay Msangi awawekea madawa mabondia wa Tanzania ili wapoteze pambano

JAY MSANGI anakula dili na wazungu ili awatengenezee rekodi zao.
 
Promoter mwenyewe tu kakaa kihuni huni anaachaje kufanya hujuma huyo.....anatuhuma kibao huyu jamaa na sujui kwanini hashughulikiwi
Siku zake zinahesabika huyo watu wameshamchoka na utapeli wake.
 
Huyo msangi simpendi ..ni tapeli haswaa..namdai pesa mbuzi tu kenge huyo tangu 2016.. Hafai hata kidogo
 
Huyo msangi simpendi ..ni tapeli haswaa..namdai pesa mbuzi tu kenge huyo tangu 2016.. Hafai hata kidogo

hayo ya kutapeliana na Msangi ni mengine, hayatuhusu, lakini bondia kusema promoter wako kakuwekea madawa machoni na tumboni basi wewe utakuwa ni bogus bondia anyway...

first rule of boxing, "protect yourself at all times"!

wewe unasinziaje mchana mpaka promoter anakunyunyiza madawa ya upofu?

promoter anatusababishia matumbo ya kuharisha, kwani promoter ndio mpishi?

such a ridiculous excuse for losing.
 
Wewe hujui fitina wewe usiongee kabisa.
 
Wewe hujui fitina wewe usiongee kabisa.

Fitna maana yake nini?

Sijui mambo ya fitina kwa sababu sijatokea kwenye background za kimanzese manzese za kuamini amini mambo ya fitna, uchawi na uswahili swahili wa watu ambao hawajaenda shule!

Unapanda ulingoni wewe na mwenzako, piganeni tuone nani kaangushwa au hajibu ngumi! Hakuna cha refa kampa mwenzangu penati, goli limefungwa la mkono, mimi nilifungwa kamba mkono mmoja, hakuna, tena unapigana na m-Russia ambae hajui mambo ya ndumba.

Huna excuse!

Unapigwa unasema FITNA, promoter Juma Msangi kaniwekea vitu machoni sioni, mara ghafla nimepata tumbo la kuharisha!

Protect yourself at all times, that’s the first thing about boxing, kama bondia unatiwa vitu machoni bila kujua you shouldnt be boxing, kuna siku utakufa ulingoni!
 
Kama ni kweli basi watu kama huyo bwana Msangi ni wakupewa adhabu kali sana kwa kuwa wasaliti.
 
10 Dec 2018
Rumble Africa Promotions presents a Bumper Xmas boxing tournament between Azinga Fuzile vs Ibrahim Class fighting for the IBF Africa Junior lightweight title over 12 rounds.Mbc was there to cover that action
Source : mbc online
 
10 Dec 2018
Rumble Africa Promotions presents a Bumper Xmas boxing tournament where we saw the likes of Azinga Fuzile fighting with Ibraham Class of Tanzania for the IBF Africa Junior lightweight Title over 12 rounds.MBC was there to cover the tournament.
Source: mbc online
 
10 Dec 2018
Rumble Africa Promotions presents a Bumper Xmas boxing tournament between Sivenathi Nontshinga vs Muhsin Kizota ,fighting for the vacant WBO Africa jnr Flyweight Title over 8rounds.MBC was there to capture that action.
Source : mbc online
 
Promota Jay Msangi apandisha hasira pambano kusimamishwa kwa TKO

10 Dec 2018
Rumble Africa Promotions presents a Bumper Xmas boxing tournament between Sivenathi Nontshinga vs Muhsin Kizota fighting for the vacant WBO Africa JNR Flyweight Title over 8rounds.MBC was there to capture that action and the TKO results
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…