Good for the country in my book. Incumbents will know that anybody can vie for their posts. Angalia CCM wanavyo recycle watu wale wale kwenye nafasi za kuteuana. That era ya Kingunge, Mramba, Karume na familia, Malecela, Makinda, Mwinyi na familia, Msekwa, Makamba na familia, Salim, Mkapa, Kikwete na familia, majina yale yale is coming to an end. Civic awareness is swelling. Watu wamegundua hawa watu hawajui chochote special wanachotuzidi, ni wachemfu tu. You also have to credit the relatively freed media.Mwaka huu kazi ipo haki ya Mungu kila mtu mwanasiasa!!!!
Wabongo bana na upuuzi wao wa siasa uchwara, ni kama mgonjwa na uji.
... inasemekana pia huyu dada anatumia msuba (ganja) ... dah hawa wabunge wetu??!!!
Hivi hapo kwenye red kama ni kweli si ungeenda kumwambia mwenyewe!!! Ni lazima uanike hapa??? Halafu unajidai kujua majina we aliyekwambia jina ni lazima liandikwe kwa namna fulani nani? Acha ushamba mtu anaweza kuandika jina lake vyovyote atakavyo.Huyu Shayros...ndio jina linavyoandikwa! ( Sijui nani alimdanganya kuandika with a "y")
Hizi mbio anazokimbilia kila kona mara atake ukamanda ,mara sijui anataka viti maalum vya UWT..mara sasa anataka ubunge wa jimbo....ni kwa manufaa ya nani???? Hakuna namna nyingine ya kutumika? Sina chochote dhidi yake na tena ni shosti wangu kwa saaaana lakini simuungi mkono kwenye hili maana kuna jambo zaidi ya tunaloliona.
Kinondoni kaeni chonjo!
Ouuchhhh!! OOPS!Hivi hapo kwenye red kama ni kweli si ungeenda kumwambia mwenyewe!!! Ni lazima uanike hapa??? Halafu unajidai kujua majina we aliyekwambia jina ni lazima liandikwe kwa namna fulani nani? Acha ushamba mtu anaweza kuandika jina lake vyovyote atakavyo.