Ni sawa ila kifupi tuna mambo mengi ya kujadili, sasa kila mtu akija hivi Ray C na yule mvuta bangi wameishia wapi si itakuwa balaa. Suala la mahusiano ni binafsi na kuacha au kuachwa ni matokeo kama kukubaliwa au kukataliwa! Kifupi walishaachana baad ya uhusiano wao kudumu kwa muda wa miaka nane na Jafarai alikuwa na mpango wa kuzaa na huyo mama lakini hilo halikutimia wakaachana na kuhusu kurudiana sijasikia maana ni kama waliachana kishari vile.