Shyrose vs jaffaray

Shyrose vs jaffaray

Status
Not open for further replies.

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Jamani wanaojua wapendwa wangu hawa wako wapi
hivi lile sakata walilimalizaje..lakini shetan mbaya sana
sana ila nahisi ifike wakati tujue umuhimu wa kujiheshimu
kwenye mahusiano wanaowajua waambien bassy jr anawasalimu sana
 
Ni sawa ila kifupi tuna mambo mengi ya kujadili, sasa kila mtu akija hivi Ray C na yule mvuta bangi wameishia wapi si itakuwa balaa. Suala la mahusiano ni binafsi na kuacha au kuachwa ni matokeo kama kukubaliwa au kukataliwa! Kifupi walishaachana baad ya uhusiano wao kudumu kwa muda wa miaka nane na Jafarai alikuwa na mpango wa kuzaa na huyo mama lakini hilo halikutimia wakaachana na kuhusu kurudiana sijasikia maana ni kama waliachana kishari vile.
 
Wakitaka ujue maendeleo yao watatangaza....until then waache waishi maisha yao!!
 
achaneni na umbea wa kujadili maisha ya watu. Leteni hoja zenye msingi jamvini sio inayohusu maisha ya watu.

mara diamond na wema
mara jafarai na shyrose
mara maimatha na pdidy
hehh!!!
Inaboa kimtindo.
 
achana na affair za watu mkuu...haina tija kufuatilia maisha ya mtu.
 
Kuna mtu humu jamvini alisema jaf kaonekana ana drive gari ya shy
 
Jamani wanaojua wapendwa wangu hawa wako wapi
hivi lile sakata walilimalizaje..lakini shetan mbaya sana
sana ila nahisi ifike wakati tujue umuhimu wa kujiheshimu
kwenye mahusiano wanaowajua waambien bassy jr anawasalimu sana

Mhhh hii tabia ya kuchunguza issue binafsi za watu sidhani kama itatufikisha mahali popote jamani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom