johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukitaka kulielewa hili vizuri angalia aina ya Wagombea wanaowaweka kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini angalia hata Mifumo yao ya Kampeni; Mrema anampigia Kampeni Magufuli na kumuacha Mgombea Urais wa chama chake.
Zitto anampigia Kampeni Tundu Lissu badala ya Membe, lakini kichekesho ni Tundu Lissu anampigia Kampeni Zitto wa ACT Wazalendo na kumuacha Mgombea Ubunge wa CHADEMA.
Unadhani Lissu angeundaje Serikali bila ya kuwa na Wabunge wa kutosha wa chama chake?
Dhamira ya kushika Dola haiko kabisa kwenye Vyama vya Upinzani.
Jumaa kareem!