johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dhamira!Siku hizi 95% ya hoja zinazojazwa kwenye hili kabati la JF ni taka ngumu.
This is outdated intelligence.Dhamira!
Unaweza kujikuta tu kwenye Chama fulani kwa sababu ya kutokea Sanya Juu
Ni kama mko kwenye VICOBA au Saccos!
Tumezizika 8/3/2023 pale Moshi kwenye Kongamano la Bawacha!This is outdated intelligence.
Sio Sanya Juu, Chato au Ruangwa ambako utasema wakazi wa hapa ni wa chama X.
Hizo fikra nilidhani tulizizika March 2021 kumbe bado zipo?
Mimi nafikiri hii post umeitoa kwasababu unajua kusoma na kuandika tu. Hakika umekosa cha kuandika.Ukitaka kulielewa hili vizuri angalia aina ya Wagombea wanaowaweka kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini angalia hata Mifumo yao ya Kampeni; Mrema anampigia Kampeni Magufuli na kumuacha Mgombea Urais wa chama chake....
Kwahiyo wewe ni mjanja kuliko David Silinde, Patrobas Katambi, Joshua Nassari, Lijualikali, Gekui, Dr Mollel, Mwita Waitara, Dr Mashinji, Dr Slaa nk.....nk? πππMimi nafikiri hii post umeitoa kwasababu unajua kusoma na kuandika tu. Hakika umekosa cha kuandika.
Mgombea Wa Urais wa CHADEMA, 2020 kama binadamu alimzidi sifa mgombea Wa CCM kila kitu isipokuwa ukatili tu. Magufuli hakustahili kuwa Rais wa Nchi hii....
Unawezaje kunifananisha mimi na watu walio nunuliwa kwa vipande vya fedha? Hapo kuna watu walijiunga na Magufuli kwasababu ya ukabila na wengine kwasababu ya umasikini wa kipato.Kwahiyo wewe ni mjanja kuliko David Silinde, Patrobas Katambi, Joshua Nassari, Lijualikali, Gekui, Dr Mollel, Mwita Waitara, Dr Mashinji, Dr Slaa nk.....nk? πππ
Sasa ni Biashara ya mali kwa mali "Asali"Unawezaje kunifananisha mimi na watu walio nunuliwa kwa vipande vya fedha? Hapo kuna watu walijiunga na Magufuli kwasababu ya ukabila na wengine kwasababu ya umasikini wa kipato. Wana uwezo kiakili lakini hawakuweza kusimamia walicho kuwa wanakiamini . Wajanja ni akina siye tulio baki na msimamo ule ule hata wakati wa mtawala katili aliye amini risasi ingemaliza upinzani Nchini.
Usiwe unavuta bangiMimi nafikiri hii post umeitoa kwasababu unajua kusoma na kuandika tu. Hakika umekosa cha kuandika.
Mgombea Wa Urais wa CHADEMA, 2020 kama binadamu alimzidi sifa mgombea Wa CCM kila kitu isipokuwa ukatili tu. Magufuli hakustahili kuwa Rais wa Nchi hii.
Miaka yote wabunge wa CHADEMA kule bungeni ndio walio leta msisimko kwa hoja na uchapakazi. CCM pamoja na wingi wao walizidiwa kwa hoja na wabunge Wa CHADEMA.
Magufuli huwezi mfananisha kiuwezo na mtazamo wa kiuchumi na Mbunge yeyote wa CHADEMA wa bunge la 2015/2020.
Mimi nadhani kinacho tufanya tubaki hivi tulivyo kama Nchi ni kwasababu tunao watu wengi wasio na elimu sahihi kama mleta hii thread.
kwamba wafuas wa lumumba ndio wategemewe kusema vyama vya upinzan vinadhamira ya kushika dola, itakuwa akili matope.Ukitaka kulielewa hili vizuri angalia aina ya Wagombea wanaowaweka kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini angalia hata Mifumo yao ya Kampeni; Mrema anampigia Kampeni Magufuli na kumuacha Mgombea Urais wa chama chake...
kauli ya kufikirika kutoka lumumba buku saba.Sasa ni Biashara ya mali kwa mali "Asali"
Mamayenu anakadi ya chadema mbulula wataamka wakiwa pekeyao.Tumezizika 8/3/2023 pale Moshi kwenye Kongamano la Bawacha!
Hii akili inapatikana ufipa tub
mamayenu anakadi ya chadema mbulula wataamka wakiwa pekeyao.