Si dhambi kama taifa kuwapa uraia kina Mayele, Mukoko, Bangala kuitumikia Taifa Stars

Si dhambi kama taifa kuwapa uraia kina Mayele, Mukoko, Bangala kuitumikia Taifa Stars

Tanzania tunawachezaji wenye viwango vya kufanana, imagine nchi nzima tunamtegemea mshambuliaji JOHN BOCCO (ya Bocco ndiye tegemeo[emoji23])
 
Watanzania tunapenda shortcut tunashindwa kutengeneza wachezaji tunasingizia uraia pacha. Nani hakumbuki kazi ya Kipingu pale makongo.
 
Back
Top Bottom