Si Haba, Utawala wa Malinzi na mafanikio dhahiri ya soka

Si Haba, Utawala wa Malinzi na mafanikio dhahiri ya soka

Taifa litaweka vipi nguvu wakati uongozi wa Malinzi na watu wake wamekaa kiupigaji tu.Hawana mipango yoyote kumbuka soka sehemu kubwa linaendesha chama cha mpira.Mpaka Malinzi atoke pale TFF ndio tunaweza kuona mabadiliko ya hayo unayoyasema.Viongozi kama Tenga alikuwa na vision na laiweka msisitizo katika soka la vijana leo hii tuna kina Samatta.Timu ya Taifa ilkuwa ya 85 katika viwango vya FIFA hivi sasa ni ya 132
 
Ni kweli bado madudu ni mengi lakini niseme kwa maandalizi ya Serengeti boys, TFF imejitahidi sana. Tuwe wakweli katika hili, ni sawa na mwanafunzi aliyepata swali moja vizuri kati ya kumi aliyokosea. Sidhani kama ni sahihi kumkosesha hata hilo moja.

Lakini pili, hatuwezi kuachia maendeleo ya soka kwa TFF pekee. Hapo ndio tunaposea. Mpira una wadau wengi, ikiwemo serikali kama mdau mkuu, vilabu vya soka, vyombo vya habari, wadhamini, mashabiki n.k. Suala la maendeleo ya timu za vijana na wanawake sio la kuachia TFF pekee. Tumejaribu hivyo miaka mingi imeshindikana. Kinachofanywa na Azam kwa mfano ndio kinapaswa kuigwa na vilabu vingine . Ndio maana nasema lazima taifa zima lishiriki.[/QUOTE]
 
Baba Kiki nadhqni kalewa huyu!
Kuimarika kwa soka la TZ kuna angaliwa kwa mifumo anzilishi sio Yanga kushindwa kombe la CAF
Toka aingie huyu Malinzi ni porojo tu na TZ inachapwa hata na Comorro sasa!Sijui tupo wangapi ktk FIFA rankings
 
Ligi hata haivutii kuangalia, leo simba tunacheza mechi ya sita dar bila kwenda mkoani, aibu gani hii? Ukiangalia kwa undani unaweza kusema wabongo tunamatatizo haswa.
 
Back
Top Bottom