Si hamu ikanishika bwana πŸ˜‰ - njoo tuzogoe!

Sema usiogope πŸ˜‚
Huoni picha🀣 kipilipili mbuzi hicho!
Haa haa, ilikua kidogo tu uanze kutuambia kuhusu mjumba wako wa mbweni na ulivyompa mubaba uk*Β£ akakusaidia kumalizia finishing ya milioni 200 πŸ˜‚
🀣🀣🀣
Ei mai lawd! Sijui ningeweka wapi hili komweπŸ˜‚
 
Tumekukumbusha wapi?
Kuna ant flan maza kabisa ...
Alisema
"" PB leo nakuja kwako na asali nataka koni yako hiyo we subri siku ziwe poa , alafu nataka nikupe kibao kuna nazi""

Siku aliyokuja daaah acha kabisa nilijua kumfukunyua maskini wa watu sijui ni mda kupata show kama ile an amefika kwake kila.mda message mara ooh utafanya niachike.

Mara una dyudyu kubwa
An story kibao aiseee
Nikaona huyu ataniganda nikaanza kumkwepa kidogo kidogo ..

Sasa hv ana mimba kila nikionana nae "" mdogo angu ujambo, upo anakuja karibu msaada nataka kytanua njia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚"""'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…