Si hamu ikanishika bwana πŸ˜‰ - njoo tuzogoe!

Mama sijui shida nn ipa nikikojoa huku panauma nakua kama nakojoa moto πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
Ooooh πŸ€¦β€β™€οΈ πŸ˜‚
Ushapewa gono la bei ya asubuhi, mpaka wakuchome sindano za shingo ndiyo upone πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani unasoma visa humu hadi mnafanya sisi Wazee wa mwaka 47 misuli itusimame πŸ€—

Kweli Vijana mnafaidi πŸ™Œ
 
Pole babu, ila bibi anajua cha kufanya kukutuliza 😁

Ngoja niwahi kurudi nyumbani leo, maana stori zenu wajukuu zimeshaniletea shida πŸ€ͺ

Wajukuu mnajua kusimulia visa hadi mnafanya Wazee tutamani kupata vibinti vya elfu 2 🀭

Ni vile tunaogopa kupandisha Visukari na Presha tu πŸ˜… πŸ™Œ
 
Babu hebu tulia kwanza, vibinti vya 2,000 na uzee huo vitakuua presha.
Hizo heka heka zao walizosimulia humu utaziweza?
 
sisi tukiwa na rufara, bibi anakaza analegea, anakaza analegea. Pili maji maji yanaongezeka na pia utaskia inakubana inakuachia.
Lakini pia utaona nakungangania, nakushika kifua ama kukungata.
 
Babu hebu tulia kwanza, vibinti vya 2,000 na uzee huo vitakuua presha.
Hizo heka heka zao walizosimulia humu utaziweza?
Kwa kweli nimegundua hao mabinti wa elfu 2 wanaweza kunitoa uhai Babu yenu, na hivi gari lenyewe ili liwake dereva miye natakiwa niimbiwe na maiki masaa ya kutosha......

Bora tuendelee kuvuta kiko zetu tu
 
Daah we babu ni kiboko, kwamba maiki inabidi iimbishwe masaa mangapi πŸ˜†?
Hawa mabinti wanavyojua kuimba sasa, nina uhakika utakufa kifuani kwa Gen Z na presha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daah we babu ni kiboko, kwamba maiki inabidi iimbishwe masaa mangapi πŸ˜†?
Hawa mabinti wanavyojua kuimba sasa, nina uhakika utakufa kifuani kwa Gen Z na presha πŸ˜‚πŸ˜‚
Bila kuimbishwa na maiki hayo masaa, mnala wa babeli hauwezi kusimama.....πŸ™Œ

Kuogopa kufia kifuani mwa GenZ ndiyo maana nimebaki kucheza na wajukuu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…