Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Kijana kanikumbusha movie ya uncut gems jamaa alimfuma demu wake na the weeknd ugomvi ulikuwa sio powa bibie alimwambia mwana wewe huwezi kupeleka moto ππHajafika kiwango ndio tatizo, mi nna vitu vyangu hivi..π
Kweli bhn hii wiki ilikuwa ndefu sana aisee dah ila bora imeisha Kwa kweli ili kesho nipate kulewa hata kidogo maana sio poaWiki ilikua ndefu hii, alhamdulillah imeisha, nimewamiss, njooni tuzogoe.
- Umeshawahi kushikwa na hamu ya kufanya kitu chochote mpaka ikabidi ubadili ratiba yako yote ili tu ukifanikishe?
- Wanaume; hivi tukiwapandilia juu wakati wa kula chakula cha wakubwa, tukanengβeneka zile dakika zetu 3, huwa mnajisikia raha au ndiyo ile tu mnatuambia βnjoo juu mpenzi"" ili na wewe ulale kidogo, upumzike?
- Ulijuaje kwamba mpenzi wako amefurahia tendo faraghani? alikufanyia nini au alikuambia nini baada ya kumaliza jambo lenu?
- Uliza swali lolote kwa yeyote
View attachment 3557640
Wamasai mtu yoyote wanampa? na wewe umejuaje?
Ata ukiwa na boma lako ni sharti la lazima kama ukikuta kuna mkuki nje huruhusiwi kuingia maana ndani tayari umetembelewa na kidume mwingineWamasai mtu yoyote wanampa? na wewe umejuaje?
Halafu mentality,hii huwa inahamasisha kufanya tendo tena na tena,personally huwa najiona bingwa nikimfikisha mwenza wangu,vile anavuta mashuka mara atafute pa kushika,anikwarue huwa nacheka sana....huwa najisemea "the man alredy yet hit the button"Hakuna raha kama ile kitu buana, ubanwe banwe na mapaja, ubinye vinavyobinyika, upate lile joto, ukimfikisha akung'ang'nie akubane maungoni weeeh, lazima umiss ndugu yangu.
Na pilipili ππ½Mh utaweka na chachandu kweli
Lipa namba naweka hapa mkuuπ₯²Aje pm nalipa namba
Woii, kitu wanaume hampendi kusikiaπKijana kanikumbusha movie ya uncut gems jamaa alimfuma demu wake na the weeknd ugomvi ulikuwa sio powa bibie alimwambia mwana wewe huwezi kupeleka moto ππ
Pole Pilato, hii wiki ilikua na mambo mengi sanaKweli bhn hii wiki ilikuwa ndefu sana aisee dah ila bora imeisha Kwa kweli ili kesho nipate kulewa hata kidogo maana sio poa
Ni balaaa sana mwana aliishia kusema go fvk the weeknd huku akijikatia tamaaWoii, kitu wanaume hampendi kusikiaπ
Ww n mwanamke bhana hvy Unaelewa kila kitu hapoMimi binafsi sizipendi kwa sababu siyo practical kwenye mambo yangu ila hebu nipe somo hapa, kucha ndefu za mwanamke zinaharibu miundombinu kivipi?
SiwajuiHebu watajeπ€
Kwa hapa hapana kuna watu watalipia mpaka makato hapa njoo pm tuwahi futari ya kesho itukute stone townLipa namba naweka hapa mkuuπ₯²
TuelewaneKwahiyo unapima au tunaelewana bei kwanza?
Hizi zilikua kitambo mkuu wamekufa sana kwa HIV mpaka wamejuta,skuiz elimu imewakuta...Ata ukiwa na boma lako ni sharti la lazima kama ukikuta kuna mkuki nje huruhusiwi kuingia maana ndani tayari umetembelewa na kidume mwingine
Haya mambo yanaumiza sana ukiweka akilini..Ni balaaa sana mwana aliishia kusema go fvk the weeknd huku akijikatia tamaa
Sinaga pigo hizo π labla nikuibie moyo πHujachoka tu kunitapeli unataka kuniibia cmπͺ
Aanhhh mbona unakaza mkuuπ₯²Kwa hapa hapana kuna watu watalipia mpaka makato hapa njoo pm tuwahi futari ya kesho itukute stone town
Haya unashingapi?Tuelewane
Try me πNimekuwa gen zπ
Kila nikiwaangalia nao kwasasa wamekua mabeach boyHizi zilikua kitambo mkuu wamekufa sana kwa HIV mpaka wamejuta,skuiz elimu imewakuta...
hata boma zao ni nyumba za kisasa sio vile vihenge vyao...wamekufa sana hapa kati kisa mikuki yao hiyo