Si kila anayetoka Kagera ni Mhaya

Umeeleweka......kwa kifupi unataka kuleta hoja zile za wanyambo sio wahaya ila umezungukaaaaaa.....
 
Nani alikwambia kuna kabila la wahaya. Je kiongozi wao ni Nani.

Wahaya ni mkusanyiko wa makabila kibao yaliyopo kagera

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Rusumo hii bonde la mto Ruvubu na Kagera
 
Nani alikwambia kuna kabila la wahaya. Je kiongozi wao ni Nani.

Wahaya ni mkusanyiko wa makabila kibao yaliyopo kagera

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Bukoba
>>>Wahaya

Muleba
>>>Wahaya

Misenyi
>>>Wahaya

Ngara
>>>Wahangaza
>>>Washubhi(hawapo katika orodha ya makabila Tanzania) kama haumfahamu nitakupa maelezo

Biharamulo
>>>Wasubi

Karagwe
>>>Wanyambo
 
What is so special huko kagera? Wakola waitu
 
Wee jamaa wacha ulongo wako %80 ya Kagera walikuwa ni Wahaya mpaka Karagwe,Muleba hadi Chato kwa jiwe wakati ule wazazi wakwe waliishi Luzinga ndio maana anajiita Mzira Nkende.
Wanyambo walibadilika kutoka kwa wahima waliotokea Rwanda awa walikuwa ni wafugaji na maeneno makubwa ya Karagwe lilikuwa ni pori.
 
Wanyambo siyo wahaya
 
Unapajua Kyanyamisa?
yupo sahihi ukitoka Rusumo unakuja Benaco then unaingia pori la Kimisi hapo Kyanyamisa ndio barrier ya mwisho ya polisi na ipo wilaya ya kyerwa ukitoka hapo unaitafuta omurushaka Karagwe.
Samahani Chief Kyanyamisa ipo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…