johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uganda!hii mpya,wahaya wengine wanatokea wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uganda!hii mpya,wahaya wengine wanatokea wapi
sidhani sana kama upo sahihiUganda!
Merry Christmas!sidhani sana kama upo sahihi
Kwa hiyo, watalii wanaweza kutalii nchi zote tatu ndani ya dakika mbili! Kweli hiyo wilaya ienziwe.Mkuu, ninatamani sana kufika Wilaya moja inaitwa Kyerwa. Ninasikia katika Wilaya hiyo moja kuna mipaka ya nchi mbili za Uganda na Rwanda?
Rusumo hii bonde la mto Ruvubu na KageraPia ufike na Ngara uone eneo maarufu kama mafiga matatu kwa wenyeji wa huko, ni mpaka unaotenganisha Tanzania, Burundi na Rwanda. Kwa jinsi palivyo ni kama mafiga japo mto kagera ndio umetenganisha Rwanda na Tanzania, huku Burundi na Tanzania zikitenganishwa na bonde.
Mbona umeniondoaRusumo hii bonde la mto Ruvubu na Kagera
BukobaNani alikwambia kuna kabila la wahaya. Je kiongozi wao ni Nani.
Wahaya ni mkusanyiko wa makabila kibao yaliyopo kagera
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
>>>Wahaya
>>>Wahaya
>>>Wahaya
>>>Wahangaza
>>>Washubhi(hawapo katika orodha ya makabila Tanzania) kama haumfahamu nitakupa maelezo
>>>Wasubi
>>>Wanyambo
Acha uongo rusumo na kyerwa wapi na wapiUkitoka Karagwe Wakati Unakwenda Rusomo Ndiyo Utapita
Kyerwa
Wee jamaa wacha ulongo wako %80 ya Kagera walikuwa ni Wahaya mpaka Karagwe,Muleba hadi Chato kwa jiwe wakati ule wazazi wakwe waliishi Luzinga ndio maana anajiita Mzira Nkende.KAGERA NI MUHAYA Turejee Historia. Wahaya ni nani? Jina Wahaya lilianza kutumika lini? Jina Wahaya linatokana na nomino IHAYA. Huu ni mwambao wa Ziwa Lweru.
Hadi ujio wa Wazungu lilimaanisha mwambao wa ziwa hilo sehemu za sasa Kyamutwara na Maruku. Ihaya lilikuwa ni eneo la vijiji vya wavuvi. Kwahiyo neno Wahaya lilimaanisha wavuvi. Katika kitabu cha Historia ya Bukoba, Hans Cory anasema jina Muhaya lilikuwa ni tusi dogo maana wavuvi hawakuwa na mahali pa kudumu pa kuishi na hawakuwa na mali ya kudumu.
Neno Ihaya halikuishia Kyamutwara na Maruku. Ihangiro ya zamani, uligawanyika sehemu mbili: Migongo na Omwihaya.
Kwa hiyo matumizi ya jina Wahaya yalienea hadi Ihangiro. Rekodi za wapelelezi wa Kizungu zinataja jina Buhaya. Omukama Rumanyika Orugundu alimwambia Speke: Mashariki mwa Karagwe kando ya ziwa kunaitwa BUHAYA ni maarufu kwa kilimo cha mibuni na pembe za ndovu. Mwisho wa kunukuu.
Katika vitabu vingine kama vile Victoria Nyanza, Karagwe ina sura yake na eneo lote Mashariki ya Karagwe wanaliita Kiziba.
Athari hiyo bado ipo Baganda huita Wahaya wote Baziba Jina Wahaya linaendana na jina jingine BUKOBA. Bukoba ni sehemu ya ukoo wa ABAKOBA. Ni pale kastamu.
Kwa kweli Bukoba kama eneo walikaa Wavuvi, Abahaya. Kuenea kwa matumizi ya majina Bukoba na Wahaya kuliambana na uvamizi wa wakoloni.
Wajermani walilipanua kujumuisha mji wa Bukoba, baadaye tawala zote za kando ya ziwa. Kwa wakati huo Karagwe haikujumuishwa. Na hata Omukama Ntare wa Karagwe walipomnyonga. Karagwe iliwekwa kwenye usimamizi wa Omukama Kahigi wa Kihanja ila ikabaki inajitegemea."
maji gani we boya?Kama wanatoa maji, wote ni wahaya. Hizo zingine ni mbwembwe tu.
Muulize mama yako anatoaga maji wapi mda anao pitaga maeneo ya katereromaji gani we boya?
Nakushauri kasome tena historia vizuri ya mkoa wa Kagera. Wanahistoria wengine wanasema kuwa neno "haya" lilitokana na matatizo ya mawasiliano kati ya wageni/wakoloni wa mwanzo na wenyeji wa mkoa wa Kagera wa wakati huo. Kutokana na matatizo ya lugha ya mawasiliano miongoni mwa wenyeji wa Kagera na wakoloni, wazungu hawa walishangaa kila wakiongea na wenyeji neno "haya" linaloashiria kukubali au kusema "ndiyo" lilijitokeza sana kwa wenyeji wa Muleba, Bukoba Mjini na Vijijini na Karagwe.
Hata hivyo kwa wilaya ya Biharamulo na Ngara ilikuwa tofauti, hawakusikia hili neno "haya". Hawa hawako kwenye kundi la Wahaya kwa utafiti wa wakoloni.
Kwahiyo wazungu hao collectively wakawabatiza wenyeji hawa "Wahaya". Kwahiyo kiuhalisia Kagera hakuna kabila linaitwa wahaya. Wahaya ni mkusanyiko watu wanaojiita WanyaIhangiro (Muleba), Waziba, Wahyoza (Bukoba M/V), Wanyambo (Karagwe) nk. Acha niishie hapa kwa leo.
Samahani Chief Kyanyamisa ipo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe!!Unapajua Kyanyamisa?
yupo sahihi ukitoka Rusumo unakuja Benaco then unaingia pori la Kimisi hapo Kyanyamisa ndio barrier ya mwisho ya polisi na ipo wilaya ya kyerwa ukitoka hapo unaitafuta omurushaka Karagwe.