Si kila mwanamke asemae yes kwako anafaa kuolewa

Si kila mwanamke asemae yes kwako anafaa kuolewa

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Wakuu salaam,

Kama upo kwenye harakati za kuoa, unapaswa kujua si kila mwanamke asemae yes kwako anafaa kuolewa.

Wanawake ni viumbe, wanaoujua sana kuzitumia fursa zilizo mbele yao, hivo anaweza sema yes kwako, coz amekuona fursa ya kumsogeza pahala.

Mwanamke akisema yes kwako, unapaswa kumpima kwa kumcheleweshea mahitaji yake/kuunda matatizo fake mara kadhaa ili uzione reaction zake.

Kupitia reaction zake, utapata majibu kama anakupenda/nitapeli anaekutumia kama fursa ya kumsogeza pahala.
 
Katika suala la kuchagua mke ni gumu sana kama hujaamua kuishi na mwanamke.

Kuna kitu kinaitwa "Hulka".

Kila mwanamke ana hulka na mihemko yake. Kuna mwanamke anaupendo wa dhati kabisa kwako ila reactions zake zikawa ni za ovyo.

Kuna mwanamke unaona ametulia kabisa hadi unajisemea hapa ndo nimegonga jiwe lenye dhahabu. Kumbe ndiye ovyo kabisaa.

Kuoa yahitaji ufumbe macho na utazame kwa hisia, ukienda kwa kukodoa macho yatakuwasha utashindwa kuona vizuri.
 
Katika suala la kuchagua mke ni gumu sana kama hujaamua kuishi na mwanamke.

Kuna kitu kinaitwa "Hulka".

Kila mwanamke ana hulka na mihemko yake. Kuna mwanamke anaupendo wa dhati kabisa kwako ila reactions zake zikawa ni za ovyo.

Kuna mwanamke unaona ametulia kabisa hadi unajisemea hapa ndo nimegonga jiwe lenye dhahabu. Kumbe ndiye ovyo kabisaa.
Hulka wala haina athari ktk kumpima mwanamke. Lengo la kumpima, ni kutaka kuujua uhalisia wa uhitaji wake.

Mfano kama mwanamke anauhitaji wakweli ukimpima kwa kumcheleweshea mahitaji yake, atareact kwa kusubiri na hatopunguza ukaribu nawe.
 
Hakuna jambo gumu kujua huyu ndiyo mtu sahihi........ kwasababu unayedhani ni sahihi inawezekana ameficha makucha,yule unayedhani mapepe kumbe ndiye sahihi.
Kama umepata mtu sahihi,unamshukuru Mungu
Ni rahisi kuujua uhalisia wa mtu, hasa ukimpima bila yeye kujua.

Mfano ana nia ya kweli, ukimpima kwa kuunda tatizo fake, ataonesha kujali na kua karibu zaidi nawe kama faraja bt kama hana nia ya kweli atapunguza ukaribu nawe
 
Hili swala kwa mifumo tunayoitumia siku hizi wakuokotana tu huko uraiani . Ni Ngoma droo tu. Maana wapo ambao wanaoa lakini hawana status ya kuwa Mume. Ni wanaume tu waoaji. Pendulum Bob
 
Hili swala kwa mifumo tunayoitumia siku hizi wakuokotana tu huko uraiani . Ni Ngoma droo tu. Maana wapo ambao wanaona lakini hawana status ya kuwa Mume. Ni wanaume tu waoaji. Pendulum Bob
Upo sahih mkuu, bt mi nadhani wanawake mna nafuu kidogo coz hua mnajua kabisa hapa nipo ajili ya upendo/nasogeza siku.
 
Hulka wala haina athari ktk kumpima mwanamke. Lengo la kumpima, ni kutaka kuujua uhalisia wa uhitaji wake.

Mfano kama mwanamke anauhitaji wakweli ukimpima kwa kumcheleweshea mahitaji yake, atareact kwa kusubiri na hatopunguza ukaribu nawe.
Ndio, kuna wengine ni kweli kabisa wako na hiyo tabia.

Ila ukikutana na limbukeni yupo kwa ajili ya anachokitaka kwanza anaanza kukuforce umuhudumie. Kuna Memes na viclip anakuwa anaweka status vikilenga kukufundisha njinsi ya kumuhudimia.
 
Back
Top Bottom