Kasongo nga nawe ooKasongo yeyee.
🤗Rafiki upo?Kasongo nga nawe oo
Nipo min -me.🤗Rafiki upo?
Poa hanna nmekumis mno🤗Nipo min -me.
Mambo?
Sasa hivi nipo hapa nimejaa telePoa hanna nmekumis mno🤗
Sawa nakuona😊Sasa hivi nipo hapa nimejaa tele
Hulka wala haina athari ktk kumpima mwanamke. Lengo la kumpima, ni kutaka kuujua uhalisia wa uhitaji wake.Katika suala la kuchagua mke ni gumu sana kama hujaamua kuishi na mwanamke.
Kuna kitu kinaitwa "Hulka".
Kila mwanamke ana hulka na mihemko yake. Kuna mwanamke anaupendo wa dhati kabisa kwako ila reactions zake zikawa ni za ovyo.
Kuna mwanamke unaona ametulia kabisa hadi unajisemea hapa ndo nimegonga jiwe lenye dhahabu. Kumbe ndiye ovyo kabisaa.
Ni rahisi kuujua uhalisia wa mtu, hasa ukimpima bila yeye kujua.Hakuna jambo gumu kujua huyu ndiyo mtu sahihi........ kwasababu unayedhani ni sahihi inawezekana ameficha makucha,yule unayedhani mapepe kumbe ndiye sahihi.
Kama umepata mtu sahihi,unamshukuru Mungu
Kuoa ni process inayohitaji utulivu, hivo kufanya analysis ni muhimu zaidi.Sasa nawewe kam hutaki kumuoa unamfata wanini
Upo sahih mkuu, bt mi nadhani wanawake mna nafuu kidogo coz hua mnajua kabisa hapa nipo ajili ya upendo/nasogeza siku.Hili swala kwa mifumo tunayoitumia siku hizi wakuokotana tu huko uraiani . Ni Ngoma droo tu. Maana wapo ambao wanaona lakini hawana status ya kuwa Mume. Ni wanaume tu waoaji. Pendulum Bob
Pamoja mkuu.Hakika
Ndio, kuna wengine ni kweli kabisa wako na hiyo tabia.Hulka wala haina athari ktk kumpima mwanamke. Lengo la kumpima, ni kutaka kuujua uhalisia wa uhitaji wake.
Mfano kama mwanamke anauhitaji wakweli ukimpima kwa kumcheleweshea mahitaji yake, atareact kwa kusubiri na hatopunguza ukaribu nawe.
Umegeneralize sana. Tubalansie wengineUpo sahih mkuu, bt mi nadhani wanawake mna nafuu kidogo coz hua mnajua kabisa hapa nipo ajili ya upendo/nasogeza siku.
mwanamke akisema yes pasi na vigezo vya kipuuz huyo ni wife bwan,,vile na nyie hua mnatamani tuKuoa ni process inayohitaji utulivu, hivo kufanya analysis ni muhimu zaidi.