MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ningeshangaa Brainy kama Wewe usingenielewa Ndugu. Kuna Watu ( Wanasiasa ) nilikuwa nawaona wana Akili Kubwa ila baada tu ya Kutegwa na Kuingia Mtegoni wamekubali Uteuzi na sasa wanamalizwa tu 'Kimkakati' na taratibu kabisa bila ya wao Kushtuka au Kujua.Nimekuelewa!
Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana Kuwateua Watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe na Wadharaulike na Wananchi.
Kama kuna Wizara ambayo ukisikia umeteuliwa usiikubali Kwanza bali tuliza Akili yako Kuikubali na kama ukiwa na Akili sawa sawa na unajitambua ikatae ni ya Taa na Mwendo wa Nyenzo Tanzania kwani ni Wizara Maalum ya Mtego na Kummaliza Adui Tishio wa Kutamani kuishi Magogoni na Chamwino.
Umeme na Maji Tanzania imeshakuwa Kero Watu Kerooooooohh.....Kerooooooohh......!! Kudadadeki.Wauguuuzi ,wauuuguzi daktari na manesi wauuuguzii, ikaja kunani paleee na ni mpakani na kilimanjaro🤗🤗
Kumbe iko hivyoo, basi muda utasungumsa!Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana Kuwateua Watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe na Wadharaulike na Wananchi.
Kama kuna Wizara ambayo ukisikia umeteuliwa usiikubali Kwanza bali tuliza Akili yako Kuikubali na kama ukiwa na Akili sawa sawa na unajitambua ikatae ni ya Taa na Mwendo wa Nyenzo Tanzania kwani ni Wizara Maalum ya Mtego na Kummaliza Adui Tishio wa Kutamani kuishi Magogoni na Chamwino.
Kwisha Habari yake tayari Kisiasa Ndugu.Wizara moja tu inamtoa jasho 😁😁Je ataweza kuziongoza Wizara 25+Taasisi za Serikali zote!!
Kategwa na kaingia vizuri sana Mtegoni.Una taka kusemaje kuhusu yule bwana wa umeme
Ni Kapuuzi fulani japo kanajifanya very Smart na ana Exposure kubwa. Najiandaa sasa Kufuga Nywele na kuacha kunyoa Upara Ndugu.Hako kaduanzi kamefanya wenye upara wote tudharaulike bora yule ngosha alijitahidi kuchapa kazi.
Msugua benchi na awe na njaa na matarajio mengi ataupiga mwingi kwa ajili ya timu au kwa ajili yake? Pia kuna kutumwa kuhujumu usisahau mpango wa messenger ukifeli ujue na mwenye ujumbe kafeli. It goes either way inclussivity= top-down/the hustler way (bottom-up)Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana Kuwateua Watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe na Wadharaulike na Wananchi.