Si kwa ubaya ila nabi PENGINE kaishiwa mbinu au wachezaji wanamuangusha

Mechi 43 unbeaten halafu kuna mbumbumbu mmoja ameshiba njugu mawe anakuja kusema Prof ameishiwa mbinu hivi uko sawasawa kweli wewe...
Watanzania ni watu wa ajabu sana na wenye kulalamika sana yani mtanzania ni kiumbe kigumu na chenye kulalamika kwa kila kitu
 
Huu ndio mpira mkubwa mliocheza??
Shots on target 3 kwa 6
 
Shots on target 3 kwa 6

Huo mpira mkubwa mliocheza upo wapi
 
Unbeaten kwa kununua mechi na kuhonga marefa mkalemaa sasa dawa inawaingia..
Kwenye hiyo unbeaten ya michezo 43, Simba amekutana na Yanga kwenye mechi 5, yaani klabu ya Simba ilikuwa na mechi 5 (mechi nyingi zaidi kuliko timu yoyote ile) za kuvuruga unbeaten ya Yanga Ila Hali imekua tofauti. Ni Simba ambao wamechangia unbeaten ya Yanga kwa mechi nyingi kuliko timu yoyote iliyokutana na Yanga kwenye unbeaten hiyo, swali ni kuwa je, Simba nayo imenunuliwa kwenye michezo mi 5 mfululizo asimfunge Yanga?
 
Mimi Ghazwat napenda waendelee kujifariji hivyo hivyo Unbeaten na mazagaza mengine ili waendelee kudumaa hapo hapo walipo.

Kwani hapa kila mmoja anahangaika na lake, mmoja kwenye kuingia makundi ya CAF na mwingine Nusu Fainali ya CAF.
 
Sisi mbumbumbu ila nyie vinyesi, hamnazo, nyani, utopolo, malalamiko fc, kidimbwi fc, miamala fc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mwendo umeumaliza poleee
Kama mnafungwa na vinyesi FC ninyi si ni funza kabisa walio nyoro nyoro kama makamasi ya kike [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…