SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe si ulikuwa unarusha mimate humu kuwa washabiki wa Yanga ni watulivu na wastaarabu? Wakatae sasa hao useme ni wa Simba. Kwenye mashinano haya miamala haifanyi kazi.Huwa sina kabisa muda wa kusikiliza ujinga